Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Wanasemaga ivyo ukiwa kwa jirani mkuu,ukiwa kwako ni habari nyingineIla nasikia wanasemaga kamekuwa kaugonjwa ka kawaida tu sasa yaani ukikapata tu unakimbilia dawa za kurefusha maisha hivyo hakatishi eti.
Na kweli usemavyo Mkuu.Wanasemaga ivyo ukiwa kwa jirani mkuu,ukiwa kwako ni habari nyingine
Natumia kinga maradufu...sifa yetu sis watu wa style hii ni uoga sana wa ngoma...so natumia kinga had najionea huruma yan.mim sifany tendo bila kinga hata sku1Ama kweli ujana ni maji ya moto ila niseme tu kabla hujaungua ni vyema ukapata ushauri kwa waliokutangulia kwanza.
Mwache amalizie michezo ya midako mkuuMbona kama una ongea mwenyewe
Nikwambie kitu hakuna kipind kuambukizwa ngoma ni ngum kama sasa..science inasema..mtu anaetumia dawa za ngoma anakua na virus wachache sana kwenye damu.na anaweza hata pimwa sometime visionekane..sasa akutane na mim ambae nina Phd ya kutumia ndomu.ambae huwa sili den.da madem hovyo hovyo..na nna rules zangu...ngum snaa.Ila nasikia wanasemaga kamekuwa kaugonjwa ka kawaida tu sasa yaani ukikapata tu unakimbilia dawa za kurefusha maisha hivyo hakatishi eti.