Hahaha raha sana! Kwa jinsi walivyonitesa chuo sasa zamu yao

MAdhara ya kuchelewa kuanza sex, tulioanzia Primary saivi wala hatuhangaiki labda mtu ajipendekeze mwenyewe, na nlivyo na sura ngumu sijawahi tongozwa.
 
Ukitafakari zaidi hakuna malipizi maana waliokutesa wewe si ambao unadeal nao sasa ila Kama vipi test zari kwa kudeal na wale walokutesa enzi zile.
Anachofanya yeye sio payback ni paying forward.

ndomana
walimu wanachapa wanafunzi kwasababu na wao walichapwa

Wanajeshi wanatesa makuruti/raia/wa mafunzo kwasababu na wao waliteswa

inshort ulipewa bure toa bure
 
Yani wanawake wana asili moja hivi ambayo mi kila ninapoamua kurevenge moyo unabadilika....unakuta mnapo anza mahusiano mienzi ya mwanzo anakunyanyasa kinomaaa........

Sasa inapofika time na mm nimeadapt tabia yake nakuanza kua Mr I don't care unakuta wanaanza kutia huruma na kulalamika kila dakika yani mpaka unabaki unajiuliza nin kimebadirika.....!!!

Nina mpenz wangu juzi Kati ananipigia simu saa tano usiku nimelala...sikupokea......nashangaa mtu saa kumi na mbili kasolo asubuh mlango unagongwa et kaja anatia huruma na kulalamika kwa nn jana sijapokea simu........Lakini nikiwasimulia huyu alivonitesaga kipindi Cha mwanzo wa mahusiano yetu basi naamini hata nyie mtanisaidia kutoa machozi.
 
Kaza
 
Hahaha
 
Hii post yako ukija isoma miaka 10 ijayo ukiwa hai ukiwa umeshakuwa mtu mzima utasema hiii! zamani nilikuwa napost utoto JF
 
Hahaha
 
Heri yako wewe ambae walau Uli graduate Kuna wengine Hadi wana maliza UD jawaja graduate.

Waliishia kuwa ma Desa Boy.


Kwa ambao hawajasoma UD " Ku graduate = kugonga demu anae soma UD ( slang)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…