Hahaha raha sana! Kwa jinsi walivyonitesa chuo sasa zamu yao

Hahaha raha sana! Kwa jinsi walivyonitesa chuo sasa zamu yao

Mim kiukwel sjawai kuwa single...yan toka nmejielewa..infwact...mim nilichelewa kdogo kuanza mapenz/kugonga..mim nilianza hayo mambo likizo ya kumaliza six...

Enewei ni hiv.kipind nmeanza .sikuwai pata shida ya kupata demu..hata mara1..mim ilikua siwez tongoza so najenga ukarib tu .mwisho wa siku najikuta tumeshikana shikana then ndo inakua mapenz yameanza hapo..

ila sasa nilikua napenda mademu wazur.yaan wale madem wakali...nilikua napata baadhi baadh nachemka..

Ila sasa hayo mateso yake ..wakuu si mchezo..yaan kuwa na demu mkali chuo halaf hela unategemea boom...mateso utakayopata ni makubwa..

Nakumbuka kuna dem nilikua namfata udom..natoka ud..yaan boom linaishia kwenye useng..tu...mara namu import

Madem mapoz meng..anakukera lakin sabab mtoto mkal unakua mpole..kuna siku nakumbuka tuligombana na dem wangu m1 halaf ndo tulikua kwenye UE bas pepa ya mwisho..dem jion tumekubaliana tusuluhishane..hee..si nakuja ambiwa mida ya jion kaja chukuliwa na ndinga moja ya hatar hall 7 kule..

Yaan inshort matukio makubwa makubwa niliyapata meng...unakuta dem anakupenda..lakin sasa hela huna...bas nikawaga mim ni kuchapa yeyote alie mbele hangu.no strings hapo...

Matukio ni meng sana..siwez elezea ...

Sasa now the table is turned....yaan kwa jins navyowatesa hawa watu..acheni tuu..

Kuna m1 hapa analazimisha kuja kwangu weekend hii..nmemwambia hapana ..hapa tunalumbana...ni kwamba kuna mwenzie anakuja...

Uzi tayar .(usinijudge...wanasema malipo ni hapa hapa ..na haya ndo malipo sasa)

Umesupp mara ngapi we chizi?
 
Kibaya zaid ni kwamba unamlipizia mtu asiyejua kuwa analipiziwa.Yy anajua anaishi life lake tuu kumbe ww uko kwenye ligi na wasioshindana na ww
 
Umenikumbusha chuo tulikuwa tunashindana nani amelala na wanwake wengi kwa mwezi basi mwezi ujao anakula bure mwezi mzima...
Kulikuwa na mjumbe kabisa wa kufuatilia kama mwanamke kaingia kweli ghetto na lazima uache vithibitisho kabisa vya kumpa mjumbe ndo anaandika kwenye daftari

Kuna record zilikuwa zinavunjwa kikatili sana

Sasa kuna mjinga tulikuwa tuna mdoubt km kweli anawatafuna akaona kwake ilikuwa na km kashfa akamtafuna demu wa mshikaji wetu hlf akaomba awekwe kwenye record[emoji20][emoji20][emoji20]

All in all utoto raha sana
 
Mapenzi ni kama kupwa na kujaa kwa bahari usijidanganye umewakamata usikute ndio umekamatika.
 
Back
Top Bottom