Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
We need to know where we belong.
Tanzania is the place where true revolution started
Tanzania is the place where true revolution started
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana achana na ujinga wa kikenya.Skiza hapa bongolala venus star,najua uwezo wenyu wa kufikiri na kuchambua mambo upo chini sana lakini wacha ni kuelimishe kidogo.....usichukulie maneno ya wanasiasa kwa uzito,baadhi ya maneno yao yanakusudi kufurahisha tu raia,haswa hapa afrika,ukitaka kujua mambo yalivyo afrika,go to the ground,kwa mfano mwaka juzi tu,king of zulu tribe-goodwill thwelini ali incite zulus against fellow black africans,yaani alichochea vurugu kwa waafrika wanaoishi SA ikiwemo watanzania,zulus ni wabantu kama baadhi ya watanzania lakini walivamia makazi ya wabantu wenzao(immigrants) na kuvuruga vibaya sana,they raped and maimed fellow africans ,sasa ubuntu uko wapi hapo,ndio maana tunawaambia hizo hadithi zenu za ukombozi kwa ground ni bullshit,hazina umuhimu wowote
Acha tulewe sifa.wa Tz made from God atuna haraka ata nyie mkituomba alshabab tutaipiga.we eat,we harvest,we have peace no problem.mengine tunafanya taratiiibu coz tulipotoka na tulipo bado ni hatua nzuri.Huu ndio tunaita uzwazwa, yaani mlitumika kuwakomboa ili muishi kula misifa wakati hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofaidi uhusiano wao na Afrika Kusini. Heehehe hadi aibu, kazi kukenua meno mkikunwa na misifa wakati wenzenu wanaifaidi hiyo Afrika Kusini kupita maelezo.
Kikubwa ni kwamba hao hao Wasouth ndio wanafaidi sana migodi yenu wakati nyie pamoja na hata kupewa visa free bado mivivu wa kutupwa hamfanyi chochote cha maana, na wakianza kucharanga wageni mapanga, wazamiaji wenu huwa hawasazwi, wanachezea humo humo.
Kenya hatupeleka kiherehere kwa kujifanya wakombozi wa hao Wasouth lakini kiaina tunafaidi hata bila visa.
Misifa yote hiyo ya kuwakomboa na kwenye list hii hapa hampo hamtajwi sehemu
- China: US$8.7 billion (9.2% of South Africa’s total exports)
- Germany: $7.1 billion (7.5%)
- United States: $6.4 billion (6.8%)
- United Kingdom: $4.8 billion (5.1%)
- Japan: $4.5 billion (4.7%)
- India: $4.5 billion (4.7%)
- Botswana: $4.1 billion (4.3%)
- Namibia: $3.6 billion (3.8%)
- Mozambique: $3.3 billion (3.4%)
- Netherlands: $3.1 billion (3.3%)
- Belgium: $2.4 billion (2.6%)
- Zambia: $2.4 billion (2.6%)
- Zimbabwe: $2.3 billion (2.5%)
- South Korea: $1.9 billion (2%)
- United Arab Emirates: $1.8 billion (1.9%)
Top South African Trading Partners 2023
Top South African trading partners based on latest 2023 statistics revealing most valuable customerswww.worldstopexports.com
Wewe ndio uliachia juzi ushuzi ndani ya Bunge baada ya kuvimbiwa Githeri ya kibera....!?Huu ndio tunaita uzwazwa, yaani mlitumika kuwakomboa ili muishi kula misifa wakati hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofaidi uhusiano wao na Afrika Kusini. Heehehe hadi aibu, kazi kukenua meno mkikunwa na misifa wakati wenzenu wanaifaidi hiyo Afrika Kusini kupita maelezo.
Kikubwa ni kwamba hao hao Wasouth ndio wanafaidi sana migodi yenu wakati nyie pamoja na hata kupewa visa free bado mivivu wa kutupwa hamfanyi chochote cha maana, na wakianza kucharanga wageni mapanga, wazamiaji wenu huwa hawasazwi, wanachezea humo humo.
Kenya hatupeleka kiherehere kwa kujifanya wakombozi wa hao Wasouth lakini kiaina tunafaidi hata bila visa.
Misifa yote hiyo ya kuwakomboa na kwenye list hii hapa hampo hamtajwi sehemu
- China: US$8.7 billion (9.2% of South Africa’s total exports)
- Germany: $7.1 billion (7.5%)
- United States: $6.4 billion (6.8%)
- United Kingdom: $4.8 billion (5.1%)
- Japan: $4.5 billion (4.7%)
- India: $4.5 billion (4.7%)
- Botswana: $4.1 billion (4.3%)
- Namibia: $3.6 billion (3.8%)
- Mozambique: $3.3 billion (3.4%)
- Netherlands: $3.1 billion (3.3%)
- Belgium: $2.4 billion (2.6%)
- Zambia: $2.4 billion (2.6%)
- Zimbabwe: $2.3 billion (2.5%)
- South Korea: $1.9 billion (2%)
- United Arab Emirates: $1.8 billion (1.9%)
Top South African Trading Partners 2023
Top South African trading partners based on latest 2023 statistics revealing most valuable customerswww.worldstopexports.com
Utakuwa mchawi ww na vidata vyako vya google.narudia tena ww utakuwa unashida kama sio stress za maishaHuo ushauri mlifaa kuutumia kujishauri, kwamba mnapoteza muda kuja kututambia huku kwenye jukwaa la Wakenya misifa mnayopewa na hao akina Ramaphosa na kusahau hayo kwa leo hayana umuhimu mkubwa, kilicho cha maana ni ajira kwa vijana wa leo ambao hata hawamjui Mandela wala huyo Nyerere. Hawana muda na hiyo misifa, wanataka fursa, vyuma vimekaza kila kukicha.
Mlifaa kukaa muwaze jinsi gani ya kutumia fursa ya uhusiano mwema na hao Wasouth kupiga biashara ya nguvu na kujikomboa kutoka kwenye umaskini, bado mnajitetea eti mpo maskini kisa mliikomboa Afrika, miaka yote hii bado mnaikomboa Afrika?
Hebu ona hii picha hapa chini bado mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa....sio Afrika, yaani dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi maskini wa kutolewa nje nje, mkihojwa mnajitetea eti mliikomboa Afrika
![]()
Mngekuwa mna akili alshabab asingekuwa anawapiga mme wakumbatia mabeberu wamewageuza mpaka jinsi (gay)Matumizi ya akili bongo ni zero,sasa ona vile wanavyotiririka na upuzi tukiwaambia ukweli,nchi kama america ilitumia zaidi ya $12B through marshall plan kusaidia europe kuinuka kiuchumi baada ya world war 2 lakini huwezi ona wakiruka ruka kila mahali wakipayuka ati walisaidia europe.