Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Naanza kuwajua WABAYA wa Taifa letu taratibu Sasa
Umeme ni kitu MUHIMU saa kwa ulinzi wa Taifa letu😅
Internet ni MUHIMU sana kwa wapinzani wakitaka kupindua inji yetu ya Tanzania.
Naelewa Sasa kumbe gridi ya Taifa Jana ilizimwa na heche na wenzake wakina Tundu Lissu ili walipindue inji yetu? Ndio maana Leo serikali imeunda kamati ya uchunguzi?
Naelekeza kesho waziri wa mawasiliano unda kamati ya uchunguzi wa walio Zima interneti ili kuzuia Tundu Lissu na heche wasipindue nchi tarehe 29/10/2025 jambo lililopelekea wananchi wengi kufa kwa kumezwana mamba, kuingia mitaloni na Kufariki Dunia.