Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

nani anahusika kumtesa mtu kwa makusudi? Mwanafunzi hana hatia kwakuidanganya mahakama? Ifike wakati wanaobambikia kesi watu wapate adhabu ile ile ambayo angepata mtuhumiwa.
... wazo safi kabisa!
 
Sasa ni muda akamfungulie huyo binti kesi. Na alipwe fidia
 
Inategemea na mazingira kila mmoja ana uwanja wake wa kutamba
Lakini mkuu Ibilisi si ndio amejaa kiburi sana na jeuli nyiingiii,.. Na kujitia kujua kila kitu. Lakini nguvu hana, 😂😂😂😂
Jabari yeye anaringia nguvu zake za mazoezi ya kupanda milima 😂😂
 
Sio baba wa mtoto, lakini inawezekana ni kweli alibaka. Huo utetezi uliotumika kumtetea mtuhumiwa unaacha maswali mengi sana
... kaka; binti kajitetea chini ya kiapo mahakamani kwamba katika maisha yake hajawahi kufanya mapenzi na binadamu mwingine yeyote! Hii umeielewaje? Acheni kuumiza watu kwa kesi za kutunga; mnakosa japo ubinadamu? Simply, alikataa kuhama chama? Kweli?
 
Ndio historia ya Tanzania ambayo Mwendazake ametuachia hii,na somo lake linaandaliwa,eti 'shujaa wa Afrika'
 
Hatari sana haya maswala,kama kweli alibambikiziwa kesi aliyehusika alaaniwe daima dawamu,je ni wangapi wako jera kwa mambo kama haya? Nimesoma nikaona mheshimiwa alikuwa na wakili ,vipi kwa wenzangu na mie ambao hawana uwezo Wa kuweka mawakili su ni hatari sana.

Serikali ipitie sheria zetu,kunashida mahali Fulani ,hapa nimejifunza kuwa huko magerezani kuna wanaume wengi sana wamefungwa kwa ulongo Wa hawa watoto Wa shule.

Pole kwa mheshimiwa,mungu amsaidie
 
mad
Hata masalia ya majivu ya mwili uliochomwa moto huonesha DNA
... anasahau Bill Clinton alinaswaje kwenye kesi ya Monica Lewinsky! Gauni la Monica lilikuwa tested for DNA muda mrefu baadaye (pengine lilishafuliwa na kupigwa pasi mara kadhaa siku nyingi baada ya tukio) lakini DNA test "ilimdaka" ... https://www.washingtonpost.com/wp-srv/politics/special/clinton/stories/eviblood092298.htm.

Anyway, hawa madogo inawezekana walikuwa hawajazaliwa haya mavitu yanawazidi uwezo!
 
Ndio historia ya Tanzania ambayo Mwendazake ametuachia hii,na somo lake linaandaliwa,eti 'shujaa wa Afrika'
... mataga wanakuambia kaacha legacy! Ha ha ha! Anyway, bahati mbaya wanasahau legacy ina dimensions nyingi!
 
Yes... Adai fidia itakayotoa fundisho kwa Mataga! Mwendazake angekua hai Mwamba Angeozea Kisongo!
Mkuu ungeacha siasa tukajadili jambo hili kwa mapana tungepata elimu,maana hili jambo halina Wa ccm au chadema,sasa wewe kudai ni laupande Fulani si kweli mkuu,laweza kukukuta wewe au Mimi,muhimu sheria zetu zirejelewe upya,na mahakimu wapunguze mihemko.
 
Mnaosema jamaa alibambikiwa kesi mnataka kusema alitafutwa binti mwenye mimba ambaye ni underage spesho kwa ajili ya hili tukio?

Mnajua ni ngumu kiasi gani ubambikaji kua deal ya wengi hivyo?

Mimi naamini jamaa kamega. Isipokua kama ubambikaji basi ulifanywa baada ya kujulikana kwamba kamega. Hata hivyo inaonyesha binti ana attitude ya umri ni namba tu so alianza shows mapema.
 
... binti, chini ya kiapo, kaieleza mahakama hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume mwingine maishani mwake zaidi ya mshitakiwa! DNA ime-prove beyond reasonable doubt kwamba mimba sio ya mshitakiwa! Can't you smell something fishy in that case? Unahitaji ushahidi kweli kukubali ulikuwa mchezo mchafu?
 
Hapo ndo sheria inaponichosha... HAYA AMECHAFULIWA JINA, INAKUWAJE?
 
Alibaka au alifanya tu kwa makubaliano ila ndio ikawa hivyo
 
It doesn't take a rocket scientist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…