dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... wazo safi kabisa!nani anahusika kumtesa mtu kwa makusudi? Mwanafunzi hana hatia kwakuidanganya mahakama? Ifike wakati wanaobambikia kesi watu wapate adhabu ile ile ambayo angepata mtuhumiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... wazo safi kabisa!nani anahusika kumtesa mtu kwa makusudi? Mwanafunzi hana hatia kwakuidanganya mahakama? Ifike wakati wanaobambikia kesi watu wapate adhabu ile ile ambayo angepata mtuhumiwa.
Alafu wanamuita eti Shujaa wa Afrika wakati ni utopolo wa TanzaniaMtupoli alijua kututesa CHADEMA.
Niacheni Nina siku21 tu kufurahia kifo chake. Wasukuma na Wajane waomboleza tu.. 🤸🏾♂️🤸🏽♀️🤸🏾♂️🤸🏽♀️
Inategemea na mazingira kila mmoja ana uwanja wake wa kutambaHiv n ibilisi au jabari mwenyewe mwenye nguvu????
Tanzania???Alafu wanamuita eti Shujaa wa Afrika wakati ni utopolo wa Tanzania
Ametuachia kikundi cha wahuni serikalini ndio tupo kwenye njia ya kukiondoaTanzania???
Ni wa Burigi huko.
Lakini mkuu Ibilisi si ndio amejaa kiburi sana na jeuli nyiingiii,.. Na kujitia kujua kila kitu. Lakini nguvu hana, 😂😂😂😂Inategemea na mazingira kila mmoja ana uwanja wake wa kutamba
... kaka; binti kajitetea chini ya kiapo mahakamani kwamba katika maisha yake hajawahi kufanya mapenzi na binadamu mwingine yeyote! Hii umeielewaje? Acheni kuumiza watu kwa kesi za kutunga; mnakosa japo ubinadamu? Simply, alikataa kuhama chama? Kweli?Sio baba wa mtoto, lakini inawezekana ni kweli alibaka. Huo utetezi uliotumika kumtetea mtuhumiwa unaacha maswali mengi sana
... anasahau Bill Clinton alinaswaje kwenye kesi ya Monica Lewinsky! Gauni la Monica lilikuwa tested for DNA muda mrefu baadaye (pengine lilishafuliwa na kupigwa pasi mara kadhaa siku nyingi baada ya tukio) lakini DNA test "ilimdaka" ... https://www.washingtonpost.com/wp-srv/politics/special/clinton/stories/eviblood092298.htm.mad
Hata masalia ya majivu ya mwili uliochomwa moto huonesha DNA
... mataga wanakuambia kaacha legacy! Ha ha ha! Anyway, bahati mbaya wanasahau legacy ina dimensions nyingi!Ndio historia ya Tanzania ambayo Mwendazake ametuachia hii,na somo lake linaandaliwa,eti 'shujaa wa Afrika'
Mkuu ungeacha siasa tukajadili jambo hili kwa mapana tungepata elimu,maana hili jambo halina Wa ccm au chadema,sasa wewe kudai ni laupande Fulani si kweli mkuu,laweza kukukuta wewe au Mimi,muhimu sheria zetu zirejelewe upya,na mahakimu wapunguze mihemko.Yes... Adai fidia itakayotoa fundisho kwa Mataga! Mwendazake angekua hai Mwamba Angeozea Kisongo!
Atalipwaje wakati huo mpango ulisukwa tu kuwakomoa CHADEMAAtalipwa?
... binti, chini ya kiapo, kaieleza mahakama hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume mwingine maishani mwake zaidi ya mshitakiwa! DNA ime-prove beyond reasonable doubt kwamba mimba sio ya mshitakiwa! Can't you smell something fishy in that case? Unahitaji ushahidi kweli kukubali ulikuwa mchezo mchafu?Mnaosema jamaa alibambikiwa kesi mnataka kusema alitafutwa binti mwenye mimba ambaye ni underage spesho kwa ajili ya hili tukio?
Mnajua ni ngumu kiasi gani ubambikaji kua deal ya wengi hivyo?
Mimi naamini jamaa kamega. Isipokua kama ubambikaji basi ulifanywa baada ya kujulikana kwamba kamega. Hata hivyo inaonyesha binti ana attitude ya umri ni namba tu so alianza shows mapema.
Hapo ndo sheria inaponichosha... HAYA AMECHAFULIWA JINA, INAKUWAJE?Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire.
Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya hiyo, Jasmin Abdul amesema mahakama hiyo haijamtia hatiani mshtakiwa huyo katika makosa mawili yanayomkabili, kwa kuwa vipimo vya sampuli za vinasaba (DNA), kuonyesha mtoto aliyezaliwa, hakuwa mtoto wa mshtakiwa.
Aidha, hakimu huyo amesema kwa kuwa mtoto aliyezaliwa si wa mshtakiwa, mahakama hiyo haioni sababu ya kuamini kwamba mshtakiwa alimbaka mwanafunzi huyo, hivyo inamwachia huru.
Awali, ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Lebulu Mbise, kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti.
Anadaiwa alitenda kosa la kwanza katika Kijiji cha Ngira, Wilaya ya Hai, kwa kumbaka mwanafunzi huyo Aprili 4, mwaka 2019, kosa alilotenda akijua ni kinyume cha sheria.
Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo, kinyume na kifungu 130 (1) (2) na kifungu 131 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura 16 ya Sheria iliyofanyiwa Marejeo Mwaka 2000.
Aidha, ilidaiwa pia mahakamani hapo kwamba, mshtakiwa alitenda kosa la pili katika kijiji hicho hicho, kwa kumpa ujauzito mwanafunzi huyo Aprili, kinyume na Sheria ya Elimu, kifungu cha 60 (A) (2) na (3) iliyofanyiwa Marejeo Mwaka 2002.
Katika ushahidi wa shahidi muhimu wa kesi hiyo ambaye ni mwanafunzi, alidai mahakamani hapo wakati akitoa ushahidi wake kwamba, hakuwahi kufanya ngono na mtu mwingine yoyote maishani mwake, tofauti na mshtakiwa huyo.
Wakati mshtakiwa Munisi, akitoa utetezi wake akiongozwa na Wakili Elia Kiwia, alidai hakuwahi kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi na mwanafunzi huyo, wala hakuwahi kufanya ngono naye.
Mshtakiwa huyo alijitetea kwamba alibambikiziwa kesi hiyo, baada ya kiongozi mmoja, kumlazimisha ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipokataa, ndipo akambambikizia kesi hiyo namba 127 ya mwaka 2019.
Chanzo: IPP MEDIA
Alibaka au alifanya tu kwa makubaliano ila ndio ikawa hivyoMahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire.
Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya hiyo, Jasmin Abdul amesema mahakama hiyo haijamtia hatiani mshtakiwa huyo katika makosa mawili yanayomkabili, kwa kuwa vipimo vya sampuli za vinasaba (DNA), kuonyesha mtoto aliyezaliwa, hakuwa mtoto wa mshtakiwa.
Aidha, hakimu huyo amesema kwa kuwa mtoto aliyezaliwa si wa mshtakiwa, mahakama hiyo haioni sababu ya kuamini kwamba mshtakiwa alimbaka mwanafunzi huyo, hivyo inamwachia huru.
Awali, ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Lebulu Mbise, kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti.
Anadaiwa alitenda kosa la kwanza katika Kijiji cha Ngira, Wilaya ya Hai, kwa kumbaka mwanafunzi huyo Aprili 4, mwaka 2019, kosa alilotenda akijua ni kinyume cha sheria.
Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo, kinyume na kifungu 130 (1) (2) na kifungu 131 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura 16 ya Sheria iliyofanyiwa Marejeo Mwaka 2000.
Aidha, ilidaiwa pia mahakamani hapo kwamba, mshtakiwa alitenda kosa la pili katika kijiji hicho hicho, kwa kumpa ujauzito mwanafunzi huyo Aprili, kinyume na Sheria ya Elimu, kifungu cha 60 (A) (2) na (3) iliyofanyiwa Marejeo Mwaka 2002.
Katika ushahidi wa shahidi muhimu wa kesi hiyo ambaye ni mwanafunzi, alidai mahakamani hapo wakati akitoa ushahidi wake kwamba, hakuwahi kufanya ngono na mtu mwingine yoyote maishani mwake, tofauti na mshtakiwa huyo.
Wakati mshtakiwa Munisi, akitoa utetezi wake akiongozwa na Wakili Elia Kiwia, alidai hakuwahi kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi na mwanafunzi huyo, wala hakuwahi kufanya ngono naye.
Mshtakiwa huyo alijitetea kwamba alibambikiziwa kesi hiyo, baada ya kiongozi mmoja, kumlazimisha ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipokataa, ndipo akambambikizia kesi hiyo namba 127 ya mwaka 2019.
Chanzo: IPP MEDIA
It doesn't take a rocket scientist.... binti, chini ya kiapo, kaieleza mahakama hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume mwingine maishani mwake zaidi ya mshitakiwa! DNA ime-prove beyond reasonable doubt kwamba mimba sio ya mshitakiwa! Can't you smell something fishy in that case? Unahitaji ushahidi kweli kukubali ulikuwa mchezo mchafu?