Huyo afisa utumishi anatoa wapi hizo fedha za kuwalipa wastaafu mfukoni mwake au.hivi kweli kufikiri kwetu ndo kunaishia Hapo?hata mtoto wa chekechea anajua hiyo ni hadaa.Hyo taarifa hujaielewa vizur , umekuja kumuatack DC sababu upo oppressed Sana na mindset yako ipo totally negative , Mbunge feki how comes ? Thibitisha ...
Kapotosha huyo mleta madaHuyo afisa utumishi anatoa wapi hizo fedha za kuwalipa wastaafu mfukoni mwake au.hivi kweli kufikiri kwetu ndo kunaishia Hapo?hata mtoto wa chekechea anajua hiyo ni hadaa.
Hao nyumbu pingapinga Fc wasikuumize kichwa dogo. Akili zipo ubelgiji huku anacomment kinyumbunyumbu.Hyo taarifa hujaielewa vizur , umekuja kumuatack DC sababu upo oppressed Sana na mindset yako ipo totally negative , Mbunge feki how comes ? Thibitisha ..... Dc amefatilia majina ya hao walimu hayajafika hazina miaka miwili sasa , Nani yupo responsible kuyafikisha hazina ? Ametoa sku tatu utumishi wapeleke hayo majina hazina ,kama ofisi ya mkuu wa wilaya itafanya sehemu yake ili wapate mafao Yao....Sabaya alishawahi kunipiga Kofi kipind tunasoma Ikizu sekondary mi nikiwa form one yeye form four ...ila siwez mchukia Kwa kiwango kama chako aiseee
Huyo afisa ameulizwa kwa nn hayajaenda hazina?Kama hayajakamilika kwa maana ya viambatishi vinavyotakiwa yy afanyeje.mara nyingi ss waafrika/watz hatuna tabia ya kutunza kumbukumbu usijekuta viambatishi kibao havipo na je Kama yatapelekwa hivyo hivyo hazina wataefect hayo malipo?Huyo afisa utumishi anatoa wapi hizo fedha za kuwalipa wastaafu mfukoni mwake au.hivi kweli kufikiri kwetu ndo kunaishia Hapo?hata mtoto wa chekechea anajua hiyo ni hadaa.
Watu hawajielewi kabisaaaWewe ndo mjinga, mtu anatafuta haki kwa wanaotaabika wewe unakuja kinyumbunyumbu pingapinga Fc.
Ila siyo kosa lako ni la saccos unayoshabikia ukiongonza na huyo wa kwenye avatar anayeishi na beberu lake ughaibuni.
Acha ushamba,kick za nini? Hapa kazi inapigwa.
Kwani hainaAkisemea inakuwa ni Drama, asiposemea aah wanajali matumbo Yao hayupo wa kutusemea , hii nchi inahtaj kiongozi mwenye roho mbaya zaidi ili iende
Hyo taarifa hujaielewa vizur , umekuja kumuatack DC sababu upo oppressed Sana na mindset yako ipo totally negative , Mbunge feki how comes ? Thibitisha ..... Dc amefatilia majina ya hao walimu hayajafika hazina miaka miwili sasa , Nani yupo responsible kuyafikisha hazina ? Ametoa sku tatu utumishi wapeleke hayo majina hazina ,kama ofisi ya mkuu wa wilaya itafanya sehemu yake ili wapate mafao Yao....Sabaya alishawahi kunipiga Kofi kipind tunasoma Ikizu sekondary mi nikiwa form one yeye form four ...ila siwez mchukia Kwa kiwango kama chako aiseee
Labda akuongoze wewe na ukoo wako.nchi inahitaji kiongozi mwenye busaraAkisemea inakuwa ni Drama, asiposemea aah wanajali matumbo Yao hayupo wa kutusemea , hii nchi inahtaj kiongozi mwenye roho mbaya zaidi ili iende
Chama cha upingaji ndo wako hivyo, vigeugeu kweli!Akisemea inakuwa ni Drama, asiposemea aah wanajali matumbo Yao hayupo wa kutusemea , hii nchi inahtaj kiongozi mwenye roho mbaya zaidi ili iende