Nashangaa sana kuona baadhi ya watanzania wenzetu kwa itikadi zao za kisiasa basi inafikia hatua wanaombea majanga au mikwamo kwa serikali ili wapate ya kusema na kunyoosha vidole kwa kweli hali hii ni mbaya sana
Tupige magoti tusali ndugu zetu roho hiyo iwatokea.