Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yuko anaandaa mbegi moja matata sana kwaajili ya kesho, hapa Rau madukani muda huu ni fulu shangwe na mc ni yule dogo aliekuwa anasajili laini!Wapite Rau Madukani wamkatie nundu yule mdada wa mbege na nyamachoma kama zawadi ya kuwapaisha.
Hao ni wafuta bange kiboko yao ni Kamanda Kingai tu.CDM huwaita VIP protection au Makomandoo wa Mbowe.
Walipata mafunzo JKT , JW au ni Jeshi la Akiba (Mgambo)?
Inaruhusiwa kuwa na mlinzi binafsi kutoka JW au JKT ?
Naombeni mnipe uelewa.View attachment 2157204View attachment 2157205
View attachment 2157206
Kwa hiyo unaendeshwa na upepo sio??Hawa makomandoo wamenifanya nihamie chadema najisikia raha sana
Kingai kwisha habari yake. Sura imempwaya kwa aibuHao ni wafuta bange kiboko yao ni Kamanda Kingai tu.
Utanipitia hapa masana mkuu nakusubiria twenzetu kwa wasomi wakwanza TanzaniaKomandoo na zawadi ya ng'ombe haya acha Leo tuweke akiba ya maneno. Niko machine tools hapa nasubiri usafiri nikale pombe za tambiko
Utasubiri sana. Kama wale wanaosubiri kesho kusikucheMara paap DPP anaonesha nia ya kuendelea na kesi, siku hiyo nitafanya bonge la sherehe
CDM huwaita VIP protection au Makomandoo wa Mbowe.
Walipata mafunzo JKT , JW au ni Jeshi la Akiba (Mgambo)?
Inaruhusiwa kuwa na mlinzi binafsi kutoka JW au JKT ?
Naombeni mnipe uelewa.View attachment 2157204View attachment 2157205
View attachment 2157206
Mara paap DPP anaonesha nia ya kuendelea na kesi, siku hiyo nitafanya bonge la sherehe
Mara paap DPP anaonesha nia ya kuendelea na kesi, siku hiyo nitafanya bonge la sherehe
DPP nani ?. Labda Biswalo Mganga. Poor sukuma gang.Mara paap DPP anaonesha nia ya kuendelea na kesi, siku hiyo nitafanya bonge la sherehe
Unamaanisha hili? Lione utadhani amphibian.Hao ni wafuta bange kiboko yao ni Kamanda Kingai tu.
+ k-vant .Mkifa watu wakashangilia mnasema wanakosea.
Ukifa tutakunywa bia.
ccm haikunizaa na sina ubia naoKwa hiyo unaendeshwa na upepo sio??