Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kupata kichekesho kama hikiChadema itazedi kuungwa mkono na Mkomando kwani hawa wote wanamarafiki ambao wako Mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata kichekesho kama hikiChadema itazedi kuungwa mkono na Mkomando kwani hawa wote wanamarafiki ambao wako Mtaani
aaya bhaghoosha nimekusoma bhaabhaSi unajua tena mambo ya ujasiliamali, muda wote tunafikiria uzalishaji
si mpaka umkute yu hai.Kwama ukipewa ng'ombe hutakuja kudaiwa?
Makomandoo wengine wawili wako wapi na wana maisha gani huko waliko, mana wamekaa jela mwaka mzima.... Gabriel Mhina na Khalid Athuman
Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi, leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe, aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame
Pamoja na kuzawadiwa ng'ombe dume wakubwa kabisa kila mmoja, pia wamepewa BAHASHA NZITO NZITO SANA kila mmoja , ambazo ndani yake haifahamiki mmewekwa nini.
Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii.
.
Ccm hamna mwanasisa ona walivyo paisha watu

sasa hivi hawa makomandoo watatu wanafahamika tz kuliko hata mkuu wa majeshiHii ni kweli.
Hawa ndio makomandoo maarufu zaidi Tanzania.
Kuna wakati unakusudia mabaya kwa mtu hujui mwisho wa mchezo wewe unaaibika na uliyemkusudia anakuwa shujaasasa hivi hawa makomandoo watatu wanafahamika tz kuliko hata mkuu wa majeshi
anarudishaje kesi wakati walishindwa kesi mpaka akaona hanania yakuendelea nayo aweke mpira kwapani Mbowe akija kujitetea atamwaibisha mazatozo na serikali yake. We endeleea kutesekaMara paap DPP anaonesha nia ya kuendelea na kesi, siku hiyo nitafanya bonge la sherehe
chama cha matozoChama Cha Mazezeta
Chanzo Cha Matatizo
Acha uchokozi MKUUNatumaini hao ng'ombe hawatakuwa wamekonda kama yule wa Mayele.View attachment 2157074