Hai: Polisi watumika kukomoa raia, siasa zatajwa kuhusika

Hai: Polisi watumika kukomoa raia, siasa zatajwa kuhusika

Yanayo endelea kwenye ofisi za watendaji kuwaka moto kuna siku yatahamia kwenye vituo vya polisi na kwenye nyumba za wakuu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, yanayo endelea leo huko nchi zaa kiarabu yalianza kido kidogo.
 
Usitegemee kubadilika! Hao ni vijana pale UVCCM ambao kimaumbile wamezaliwa wa kiume lakini wameharibiwa na kuwa sio rizki!
Waonee huruma tuu!
Yamekuwa kama mazezeta
 
Back
Top Bottom