Hai: Wananchi wapakwa upupu kwa kutotii agizo la kwenda Baa usiku

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Serikali Wilayani Hai imeondoa zuio batili lililowekwa na baadhi ya Viongozi katika Kijiji cha Isuki Kata ya Masama Kati ambalo lilikuwa linakataza Wananchi kutembea na kutokwenda Bar kuanzia saa mbili usiku.

Mkuu wa Wilaya Hai Lengai Ole Sabaya ameiongoza Kamati ya Usalama na kuamuru Viongozi watano wa Kijiji hicho kushikiliwa na Vyombo vya dola kwa kuwatoza wananchi kiasi cha Elfu sitini au kuwachapa viboko na kuwapaka upupu kwa walioshindwa kutekeleza amri hiyo batili.

Katika hatua nyingine amesitisha shughuli za sungusungu na kuamuru kuondolewa kwa Polisi Kata kwa kushindwa kulinda wananchi na mali zao huku akinyamazia uonevu na unyanyasaji.
 
Miss habari mbaya,

Duh upupu...!!
Acha unafiki mkuu,mbona upupu huu tunauvumilia miaka nenda rudi!
1_utlWty968Vzt0XvEZ73P2A.jpg
 
Sema nimeanza kua na mashaka na huyu jamaa. Atakua anatengeneza “scene” alaf “actor” ni yeye!
 
Serikali Wilayani Hai imeondoa zuio batili lililowekwa na baadhi ya Viongozi katika Kijiji cha Isuki Kata ya Masama Kati ambalo lilikuwa linakataza Wananchi kutembea na kutokwenda Bar kuanzia saa mbili usiku.

Mkuu wa Wilaya Hai Lengai Ole Sabaya ameiongoza Kamati ya Usalama na kuamuru Viongozi watano wa Kijiji hicho kushikiliwa na Vyombo vya dola kwa kuwatoza wananchi kiasi cha Elfu sitini au kuwachapa viboko na kuwapaka upupu kwa walioshindwa kutekeleza amri hiyo batili.

Katika hatua nyingine amesitisha shughuli za sungusungu na kuamuru kuondolewa kwa Polisi Kata kwa kushindwa kulinda wananchi na mali zao huku akinyamazia uonevu na unyanyasaji.
Si vema kutoa adhabu kama hiyo katika jamii
 
Back
Top Bottom