Ngoja aje Tindo na YodaNasubiri waisrael wa ccm na wapelstina wa chadema uwanja ni wenu sasa!
Wafia chama!Ngoja aje Tindo na Yoda
Siasa ni maisha ya kila siku.Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.
Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
sawaKanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.
Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Tumshukuru mzee mwenye kwa kukubali kuanzisha upinzani unaosimamiwa na CCM ili usilete madhara kwa nchi.Maridhiano
Ni jambo jema kula matunda!
They have nothing to do with itNgoja aje Tindo na Yoda
Bila shaka Mbowe atatangaza hivi karibuni kuvaa gwanda la kijani! Wanaosubiri upinzani Toka kwa Mbowe watasubiri Sana!Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.
Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Ni kawaida kwa Wachaga kufanya hivyo endapo mchango wenye dau kubwa unapotolewa na mwenye fedha, hapo utapata kila sifa, lakini ukiwapiga tu mgongo wanakung'ong'a ile mbaya.Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.
Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.