Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Sidhani kama hili jambo lina afya
 
Kwanini haijatangazwa na kiongozi wa kanisa husika au Mbowe ndiye Mchungaji wa sasa wa kanisa hilo
 
Yote ni siasa tu na haina maslahinkwa taifa
Kanisa halina chama kama ilivyo kwa serikali kutokuwa na dini.
Mama Samia ametoa mchango wa ujenzi wa kanisa kama msamaria mwema na rafiki, siyo kwa niaba ya chama au serikali.
Hata hivyo, huwezi kumtenganisha moja kwa moja.
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468

Halafu NHIF inakufa
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
CHADEMA ilikuwepo hata kabla ya Samia, CHADEMA haiishi kwa msaada wa Samia
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Kwamba hilo kanisa ni la CHADEMA? Mkuu uwezo wako umeshuka sn jitafakari vizuri
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
P typing...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Akili za Watanzania hovyo kabisa. Rais ana abuse pesa zetu Lakini Waandishi wa habari kama wewe badała ya kuhoji kazitoa wapi na wewe unashangilia😭😭😭

Aliyeturoga ameshakufa na katu hatuwezi kupona.
Shida ni kwamba tuna matumbo makubwa yenye njaa kali😭😭😭
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Wachagga kwenye pesa, hata uwaambie Shetani ametoa 200M watalipuka kwa shangwe hivyo hivyo.

I know them well ikija swala la pesa.
 
Ni kawaida kwa Wachaga kufanya hivyo endapo mchango wenye dau kubwa unapotolewa na mwenye fedha, hapo utapata kila sifa, lakini ukiwapiga tu mgongo wanakung'ong'a ile mbaya.
Uko sahihi kabisa
 
Just curious kwamba Bulaya na Halima Mdee walikuwa pamoja na Mnyika na Mbowe kanisani!
Shangwe zilikuwa kubwa sana walipotambulishwa.Inaashiria nini?
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Mwenyekiti wa chama cha watoa taarifa atoa taarifa!
 
Back
Top Bottom