Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Kuna vijiji vingi sana havina maji safi na salama kwa matumizi.

150m ingekuwa sadaka nzuri ya mwaka mpya kama ingetumika kuchimba visima viwili vya maji hata ya chumvi kwenye vijiji viwili kwa 75m@
 
Miradi ya maji inaendelea nchi nzima, Aweso anahitaji miezi 9 mfululizo kuizindua, kila siku awe saiti
 
YaHuyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Yataje mambo hayo hapa! Kuwa huru advocate msomi.
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa

View attachment 2858537
Ujumbe mahususi ndugu chiembe ni upi
 
Mbowe kageuka chawa kwa kulambuishwa asali!
 
Adui mkubwa wa Chadema sio ccm ni MBOWE!! As long as Mbowe ni mwenyekiti hicho Chama hakitasonga mbele!!
Mbowe anazingatia maslahi ya taifa, hana siasa uchwara kama zenu
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa

View attachment 2858537
Kwa hiyo Mbowe ni msemaji wa mwenyekiti wa CCM. Labda taarifa haijakamilika
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Hayo mambo fulani yaeleze wewe kama unaona Mbowe kaficha.
 
Rais anaonesha upendo hasa pale mtangulizi alipojenga chuki. Heko mama kizimkazi
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa

View attachment 2858537
Najaribu kuwaza vile Dr. Tulia angeandaa Machawa na press conference za mashambulizi na kum diss sugu kama rais Samia angetoa kiwango hicho cha feza kupitia Sugu.
Ingeleta nongwa kubwa sana Jijini Mbeya.
 
Back
Top Bottom