The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Na kweli maana wazee wa kuchangamka hawakaagi mbali[emoji16][emoji16] mgeni inabidi tumuonyeshe na kumpa tahadhari juu la lolote linalohusu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli maana wazee wa kuchangamka hawakaagi mbali[emoji16][emoji16] mgeni inabidi tumuonyeshe na kumpa tahadhari juu la lolote linalohusu humu
Karibu jamii forumsHabari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
Umeona inbox tayari kuna kameseji kamoja sasa sijui mpaka sasa maana hata kujibu sasa hivi ajibu kama mwanzoNa kweli maana wazee wa kuchangamka hawakaagi mbali
Haha, basi labda watu wanatoa darasa inbox huko[emoji28][emoji28]Umeona inbox tayari kuna kameseji kamoja sasa sijui mpaka sasa maana hata kujibu sasa hivi ajibu kama mwanzo
Linaitwa darasa huru, [emoji2]Haha, basi labda watu wanatoa darasa inbox huko[emoji28][emoji28]
[emoji38][emoji1][emoji1]Linaitwa darasa huru, [emoji2]
Njoo inboboHabari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
Kwa sisi wazoefu wa fasihi, miambata na jicho la tatu.......Habari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
AsanteHaya basi vizuri Kwa kuwa na uelewa huu.Swali lingine gumu nimearisha kukuuliza.Best wishes dear
Id ndo niniKwa sisi wazoefu wa fasihi, miambata na jicho la tatu.......
Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, wewe ni mwenyeji ulie kuja na ID mpya...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
SawaNjoo inbobo
Nilikuwa sijui pa kujibiaUmeona inbox tayari kuna kameseji kamoja sasa sijui mpaka sasa maana hata kujibu sasa hivi ajibu kama mwanzo
Duh mbona unaniogopeshaBaada ya mda Mgeni lazima ataingizwa mkenge. kwa jinsi alivyopokelew na anavyoitikia wito kama fb hawezi achwa salama.
Nipo tayari[emoji16][emoji16] mgeni inabidi tumuonyeshe na kumpa tahadhari juu la lolote linalohusu humu
SawaSawa, salimia ndugu&jamaa
Asante kw ukarimuHahah! Nampa abc mgeni
Kwa sisi wazoefu wa fasihi, miambata na jicho la tatu.......
Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, wewe ni mwenyeji ulie kuja na ID mpya...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Welcome singo maza naona idadi inazidi kuongezeka tu humuNina mtoto ndiyo