Haichukui nafasi ya Daktari

unasema kwel niitafute chap,,maana watoto watatu tuu nshaanza kukunjana
Itafute halafu unipe mrejesho, mi sijaanza kuitumia ila kuna mtu aliitumia anakaribia 60 ila nilipomuona ni km amekuwa na 48 hivi, na ni mwanaume sasa
 
Itafute halafu unipe mrejesho, mi sijaanza kuitumia ila kuna mtu aliitumia anakaribia 60 ila nilipomuona ni km amekuwa na 48 hivi, na ni mwanaume sasa
Uuuwweeeh kama mwanaume karudi ivo,,mimi jeee si ntarud miaka 40 nyuma
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usije ukanywa tuu...
Ishia kunawa ila kunywa NOOO NOOO usije jaribu...
.kwa sasa siwezi sema kila kitu kuhusu madhara yake kutokana na kuogopa watu wanaweza nidhania mimi kijana wa hovyo
Kingine inasemekana maji ya mchele hufanya uke kuwa mdogo we bhana unanizingua, mtoa mada atusamehe tushamvurugia uzi
 
Uuuwweeeh kama mwanaume karudi ivo,,mimi jeee si ntarud miaka 40 nyuma
Sikutanii! Ila yupo iliyemkataa sasa sijui aliichanganya na korokoro gani, maana wanawake tuna hekaheka
 
Kingine inasemekana maji ya mchele hufanya uke kuwa mdogo we bhana unanizingua, mtoa mada atusamehe tushamvurugia uzi
Uhhhhhhhhhh weee rudia hapo et hufanya nanii kuwa ndogo ..
Inaweza kuwa kama mpya vile...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna watu wakiona hii comment yako watatafuta hayo maji hata kwa kununua...

Wew hayo umejulia wapi madam πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ƒ
 
Naona umejisahaulisha kuwa nimekutangulia kuona jua
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Shangazi mpya wa kinyerezi..
Huyo dp ni wewe mshangazi..?
Kijana una hekaheka weye,,huyo ni babu yako toka lini mi nkawa mwanaume,au kengeza lako linaona huyo ni mwanamke?
 
Huo msemo wa haichukui nafasi ya daktari sijauelewa mwenzenu unamaanisha nini?
Mimi pia huwa nauona tu kwenye comments za watu huko IG sijawahi kuelewa wanamaanisha nini.
 
Kijana una hekaheka weye,,huyo ni babu yako toka lini mi nkawa mwanaume,au kengeza lako linaona huyo ni mwanamke?
Mmmmmh wewe ni wa kiume huyo...
πŸ’ŠπŸ’ŠπŸ’Š
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…