Haichukui nafasi ya Daktari

Haichukui nafasi ya Daktari

unasema kwel niitafute chap,,maana watoto watatu tuu nshaanza kukunjana
Itafute halafu unipe mrejesho, mi sijaanza kuitumia ila kuna mtu aliitumia anakaribia 60 ila nilipomuona ni km amekuwa na 48 hivi, na ni mwanaume sasa
 
Itafute halafu unipe mrejesho, mi sijaanza kuitumia ila kuna mtu aliitumia anakaribia 60 ila nilipomuona ni km amekuwa na 48 hivi, na ni mwanaume sasa
Uuuwweeeh kama mwanaume karudi ivo,,mimi jeee si ntarud miaka 40 nyuma
 
😂😂😂😂 Usije ukanywa tuu...
Ishia kunawa ila kunywa NOOO NOOO usije jaribu...
.kwa sasa siwezi sema kila kitu kuhusu madhara yake kutokana na kuogopa watu wanaweza nidhania mimi kijana wa hovyo
Kingine inasemekana maji ya mchele hufanya uke kuwa mdogo we bhana unanizingua, mtoa mada atusamehe tushamvurugia uzi
 
Uuuwweeeh kama mwanaume karudi ivo,,mimi jeee si ntarud miaka 40 nyuma
Sikutanii! Ila yupo iliyemkataa sasa sijui aliichanganya na korokoro gani, maana wanawake tuna hekaheka
 
Kingine inasemekana maji ya mchele hufanya uke kuwa mdogo we bhana unanizingua, mtoa mada atusamehe tushamvurugia uzi
Uhhhhhhhhhh weee rudia hapo et hufanya nanii kuwa ndogo ..
Inaweza kuwa kama mpya vile...
😂😂😂😂😂😂

Kuna watu wakiona hii comment yako watatafuta hayo maji hata kwa kununua...

Wew hayo umejulia wapi madam 😂😂🙃
 
Naona umejisahaulisha kuwa nimekutangulia kuona jua
 
HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge

- Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku anakupiga kalenda

-Haichukui nafasi ya daktari mara moja moja kunywa bia mbili kalale

- Haichukui nafasi ya daktari
ukiombwa tunda la katikati mwanadada usibanie utazikwa nalo tunda

-Haichukui nafasi ya daktari unapofika eneo la watu wengi kwenye barabara punguza mwendo

-Haichukui nafasi ya daktari unapokatiza mitaa usiyoijua salimia hao watu unaopishana kunakukosea njia shauri yako🤣utadhalilika lakini pia majirani jenga utaratibu wa kuwasilimia

_Haichukui nafasi ya daktari unapoenda kusalimia sehemu kweli nenda kasilimie kwa mda uliopanga usipafanye makazi watu wanaishi kwa bajeti

-Haichukui nafasi ya daktari unapokutana na mwanadada aliyejazia usigeuze sana shingo kumwangalia🤣(Sema dah hii mizigo itatuua)

Kwa leo niishie hapa, haya tuendeleze na mambo mengine Ambazo Hayachukui nafasi ya daktari.............
Crap
 
Back
Top Bottom