Haihitaji elimu kuelewa kuwa wasanii wananunua 'views' YouTube

ONGEZENI COMMA KWENYE ACCOUNTS ZENU BANK NA SO VIEWS YOUTUBE.....SIO MNAPIGA KELELE WAKATI ACCOUNTS ZENU ZINA COMMA MOJA TU.
 
To low fact sana hao wasanii wote uliowataja wakitoa video hawafanyi promotion kwny a.c zao za social media msanii anapost mara moja tu "alert my new video is out" basi ila angalia diamond akitoa video mara ngap ana post kuhusu iyo video yke icho ndo anachowazidi wenzake
Cku zote unambiwa biashara ni matangazo ukitaka kumzidi pinzani wko ww promote product yko kadri uwezavyo utaona mafanikio
 
Fact less. Kama issue ni kununua views bas yule mkorea PSY naye kanunua kny wimbo wake wa Gangnam style.
Nunueni na nyinyi views. Kwa bongo mtu anayepata views nyingi ni Diamond ata km hamtaji jina.
Jinsi diamond anavyotangaza nyimbo zake kwanini followers wasiende kuangalia. Diamond ana fan base kubwa jmn sio wa instagram 2 ata mtaani ambao hawapo instagram.
Na diamond anapata views nyingi coz hua anaanza na kutoa video then ndo anatoa audio. Sasa mtu umetoa audio imekaa mwaka ndo unakuja kutoa video nan ataenda kuangalia?? Vitu vingine havihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua na ndio mondi anawaachia gap hapo.
 
Nadhani kuna umuhimu wa kuelewa trending over YouTube ni nini
 
UNASHANGAA NINI, watanzania wengi hawana kazi ya kufanya kazi kushinda kwenye mitandao tu, ukitegemea siku hizi ukinunua kabando kadogo tu unapewa muda wa youtube ya bure, huko kwa kina davido watu wako na kazi zao hawana muda wa kushadadia mtu, Bongo unatoa wimbo saa moja asubuhi ndani ya dakika tano tu kila mtu anaujua. niliona maajabu siku wimbo wa salome umeachiwa utube, mimi nilikuja ujua wimbo siku nne baadae mpaka nikachekwa nikaulizwa uko bongo hii kweli.
 
ndo maana magufuri anatunyosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…