Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To low fact sana hao wasanii wote uliowataja wakitoa video hawafanyi promotion kwny a.c zao za social media msanii anapost mara moja tu "alert my new video is out" basi ila angalia diamond akitoa video mara ngap ana post kuhusu iyo video yke icho ndo anachowazidi wenzakeNi mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa
Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
Nadhani kuna umuhimu wa kuelewa trending over YouTube ni niniinaonekana uelewa wako wa video trending za youtube ni mdogo sana... kama ulkua unafatalia vizuri, hiyo nyimbo ya dimpoz ilishika namba 1 siku tu baada ya kuwekwa youtube, imekuja ku drop after 4 days.. nyimbo inakua ranked #1 katika trend endapo itaangaliwa na watu wengi in a short time,, usishangae hata leo joti akaweka video yake na kesho asubuhi ukaikuta #1
Wakijibu nitag...Wananunuaje?wanampa hela nani?
Sawa.Wakijibu nitag...
UNASHANGAA NINI, watanzania wengi hawana kazi ya kufanya kazi kushinda kwenye mitandao tu, ukitegemea siku hizi ukinunua kabando kadogo tu unapewa muda wa youtube ya bure, huko kwa kina davido watu wako na kazi zao hawana muda wa kushadadia mtu, Bongo unatoa wimbo saa moja asubuhi ndani ya dakika tano tu kila mtu anaujua. niliona maajabu siku wimbo wa salome umeachiwa utube, mimi nilikuja ujua wimbo siku nne baadae mpaka nikachekwa nikaulizwa uko bongo hii kweli.Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa
Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
ndo maana magufuri anatunyoshaUNASHANGAA NINI, watanzania wengi hawana kazi ya kufanya kazi kushinda kwenye mitandao tu, ukitegemea siku hizi ukinunua kabando kadogo tu unapewa muda wa youtube ya bure, huko kwa kina davido watu wako na kazi zao hawana muda wa kushadadia mtu, Bongo unatoa wimbo saa moja asubuhi ndani ya dakika tano tu kila mtu anaujua. niliona maajabu siku wimbo wa salome umeachiwa utube, mimi nilikuja ujua wimbo siku nne baadae mpaka nikachekwa nikaulizwa uko bongo hii kweli.