Haihitaji elimu kuelewa kuwa wasanii wananunua 'views' YouTube

Haihitaji elimu kuelewa kuwa wasanii wananunua 'views' YouTube

ONGEZENI COMMA KWENYE ACCOUNTS ZENU BANK NA SO VIEWS YOUTUBE.....SIO MNAPIGA KELELE WAKATI ACCOUNTS ZENU ZINA COMMA MOJA TU.
 
Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa

Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
To low fact sana hao wasanii wote uliowataja wakitoa video hawafanyi promotion kwny a.c zao za social media msanii anapost mara moja tu "alert my new video is out" basi ila angalia diamond akitoa video mara ngap ana post kuhusu iyo video yke icho ndo anachowazidi wenzake
Cku zote unambiwa biashara ni matangazo ukitaka kumzidi pinzani wko ww promote product yko kadri uwezavyo utaona mafanikio
 
Fact less. Kama issue ni kununua views bas yule mkorea PSY naye kanunua kny wimbo wake wa Gangnam style.
Nunueni na nyinyi views. Kwa bongo mtu anayepata views nyingi ni Diamond ata km hamtaji jina.
Jinsi diamond anavyotangaza nyimbo zake kwanini followers wasiende kuangalia. Diamond ana fan base kubwa jmn sio wa instagram 2 ata mtaani ambao hawapo instagram.
Na diamond anapata views nyingi coz hua anaanza na kutoa video then ndo anatoa audio. Sasa mtu umetoa audio imekaa mwaka ndo unakuja kutoa video nan ataenda kuangalia?? Vitu vingine havihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua na ndio mondi anawaachia gap hapo.
 
inaonekana uelewa wako wa video trending za youtube ni mdogo sana... kama ulkua unafatalia vizuri, hiyo nyimbo ya dimpoz ilishika namba 1 siku tu baada ya kuwekwa youtube, imekuja ku drop after 4 days.. nyimbo inakua ranked #1 katika trend endapo itaangaliwa na watu wengi in a short time,, usishangae hata leo joti akaweka video yake na kesho asubuhi ukaikuta #1
Nadhani kuna umuhimu wa kuelewa trending over YouTube ni nini
 
Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa

Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
UNASHANGAA NINI, watanzania wengi hawana kazi ya kufanya kazi kushinda kwenye mitandao tu, ukitegemea siku hizi ukinunua kabando kadogo tu unapewa muda wa youtube ya bure, huko kwa kina davido watu wako na kazi zao hawana muda wa kushadadia mtu, Bongo unatoa wimbo saa moja asubuhi ndani ya dakika tano tu kila mtu anaujua. niliona maajabu siku wimbo wa salome umeachiwa utube, mimi nilikuja ujua wimbo siku nne baadae mpaka nikachekwa nikaulizwa uko bongo hii kweli.
 
ndo maana magufuri anatunyosha
 
Back
Top Bottom