Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje...
Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua mipango ya Yanga...
Nashauri kama kuna uwezekano wa kuwatambua na kufahamu kwa hakika kwamba hilo limefanyika, basi wahusika wapewe adhabu...
Roho mbaya haijengi... Roho mbaya ni uchawi