Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nyie ndo wachawi wakubwa yani mnapenda ushirikina Simba imeshapiga hatua kubwa..endeleeni kupita milango ya nyuma na miko yenu nyuma. Nasema.hivi trh 23 mtapigwaaa nipo hapa..kama una uhakika ule ulikua ni uchawi pale SA basi endelea kuamini hivyo.Simba Hana timu ya kuifunga Yanga, Ao Al Hilal wamepata matokeo Kwa Bahasha, Simba ndio timu inayo tambuliwa Kwa uchawi na CAF iliwapiga adhabu ya Dola 20,000/=
Tarehe 23 tunaendeleza tulipo ishia na kukata kidomodomo chenu.