Haiingii akilini kabisa kwamba Yanga alishindwa fitina pale kwa Mkapa

Simba Hana timu ya kuifunga Yanga, Ao Al Hilal wamepata matokeo Kwa Bahasha, Simba ndio timu inayo tambuliwa Kwa uchawi na CAF iliwapiga adhabu ya Dola 20,000/=
Tarehe 23 tunaendeleza tulipo ishia na kukata kidomodomo chenu.
Nyie ndo wachawi wakubwa yani mnapenda ushirikina Simba imeshapiga hatua kubwa..endeleeni kupita milango ya nyuma na miko yenu nyuma. Nasema.hivi trh 23 mtapigwaaa nipo hapa..kama una uhakika ule ulikua ni uchawi pale SA basi endelea kuamini hivyo.
 
Na ndio furaha yetu hayo mengine ziada?
Aliekuambia yanga inaendeshwa ela ya kushinda makombe nani?
 
Timu ni biashara siyo historia, ndiyo maana timu nyingi zinacheza walau tu kuingia makundi CAF Champions league na CAF confederation cup zipate pesa, we endelea na historia ya makombe yasiyo na thamani ya maana[emoji706][emoji706][emoji706]
Hiyo bl 1? Haitoshi hata mishahara ya wacjezaji wetu
 
Ingekua wana uwezo huo wangetolewa?
 
Endeleeni kubaki kwenye historia yenu ya mashndano ya ndani.
Then why mnpga kelele baada ya kutolewa klabu bingwa Africa???????
Kwani nyie huko nje mmetuletea nini?
Keshokutwa tu hapo mnatolewa mje tuwabutue tupo paleee kwenye ligi tunawasubiri.
 
Kule hatuwezi fika kwa viela vya mo na gsm, hao al hilal ya sudan wametuacha mbali sana kiuchumi japo nchini mwao ni vita tu, simba ishukuru tu mtoano ya awali inapangiwa timu za kawaida, mwaka wa ile yanga kampa tena tulipangiwa al ahaly ya misri.
 
Kule hatuwezi fika kwa viela vya mo na gsm, hao al hilal ya sudan wametuacha mbali sana kiuchumi japo nchini mwao ni vita tu, simba ishukuru tu mtoano ya awali inapangiwa timu za kawaida, mwaka wa ile yanga kampa tena tulipangiwa al ahaly ya misri.

Ulitaka apangwe na Nani? Simba ipo juu Kwenye rakings za CAF haiwezi kupangiwa timu kubwa maana na yenyewe ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…