Haiishi mpaka iishe. Dakika 5' tu za Nyongeza zinaweza kubadirisha matokeo ya mchezo

Mpetde

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
5,082
Reaction score
8,368
Hapa nilikua naangalia mpira Swansea City alikua anacheza na Nottingham Forest, mpaka dakika 90 Nottingham alikua anaongoza goli 2 kwa 1, zikaongezwa dakika 5 tu zilizopelekea Swansea City kubadirisha matokeo ya mchezo ndani ya dakika 5 tu Swaswea City akafunga goli 2 chap kwa haraka na ubao ukageuka ukasoma 3 kwa 2 ndani ya dakika 5 tu.

Hakika nimeamini haiishi mpaka iishe.

Funzo:
Usijikatie tamaa mapema maana kwenye kila mwanzo mbaya kuna mwisho mwema pia.
Alamsiki.
 
Kwa hiyo?
 
Kwenye soka dakika 1 ni kubwa sana kwa sisi wawekezaji maafisa ubashiri hizo hali tunakutana nazo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…