Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
Screenshot_20240119-155756.jpg
 
Hivi hakuna namna ya lumaliza hili zengwe?.
Zengwe lilishakwisha, CHADEMA ilishawafukuza kitambo sana, mahakama ikabariki kufukuzwa kwao, spika na CCM ya mchongo ndio wakaamua kuwakumbatia.

Wabunge wa COVID 19 ni kondomu za kisiasa zilizotumika, hazifai tena popote. Mtaani hazitakiwi, CCM hazihitajiki pia.
 
Kodi za watanzania zinachezewa sana ,bado watu wenye nia njema na taifa hawaoni sababu ya kutengeneza katiba mpya???
Nyie CHADEMA mnavyomkataa hadi yule mama aliyechaguliwa na wananchi huwa mnawaza nini?
 
Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
mahakama iamue mapema coz Halima Mdee anatarajia kugombea uenyekiti Chadema Taifa mapema mach 2024 ...

Na Lazima ashinde coz Mbowe anastaafu rasmi🐒
 
Back
Top Bottom