Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwahiyo pesa wanayolipwa kwenye bunge ni sawa na wizi?Upuuzi tu
Ngoja tumuone.Dr Nchimbi
Kwa sheria za Tanzania hao siyo wabunge ndio sababu wanahangaika mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo pesa wanayolipwa kwenye bunge ni sawa na wizi?Upuuzi tu
Ngoja tumuone.Dr Nchimbi
Kwa sheria za Tanzania hao siyo wabunge ndio sababu wanahangaika mahakamani
Umaendika Lomalisa?Hivi hakuna namna ya lumaliza hili zengwe?.
Yana mwisho tuZengwe lilishakwisha, CHADEMA ilishawafukuza kitambo sana, mahakama ikabariki kufukuzwa kwao, spika na CCM ya mchongo ndio wakaamua kuwakumbatia.
Wabunge wa COVID 19 ni kondomu za kisiasa zilizotumika, hazifai tena popote. Mtaani hazitakiwi, CCM hazihitajiki pia.
Hawakushinda ndiyo maana wanahangaika kwenda Mahakamani kutafuta huruma ya mahakamaMbona nilisikia kuwa walishinda kesi?
Pumbafu hata maana yabkutafsiri sheria hujuiWanaenda kupigilia misumari ya mwisho
Ccm hawamtaki kabisa kuona watanzania wanapata haki zaoKodi za watanzania zinachezewa sana ,bado watu wenye nia njema na taifa hawaoni sababu ya kutengeneza katiba mpya???
Ccm ni mafia
Kama wewe unavyohenyeshwa na shemeji yakoNinawapongeza. CHADEMA safari hii hakuna rangi wataacha ona. Kina mama 19 tu wanakihenyesha chama kikuu cha upinzani.
Tunawaza jinsi Jiwe hatunaloNyie CHADEMA mnavyomkataa hadi yule mama aliyechaguliwa na wananchi huwa mnawaza nini?
Akili zako sawa na ngederemahakama iamue mapema coz Halima Mdee anatarajia kugombea uenyekiti Chadema Taifa mapema mach 2024 ...
Na Lazima ashinde coz Mbowe anastaafu rasmi[emoji205]
Nani kakwambia kuwa walishinda?Asa si wameshinda hao rufani ya nini sasa
MakapiCHADEMA hawana shida nao tena
Mmawia nini kimekupata? Mbona kwa miaka mingi umekuwa ukiaminika kama mwenye akili timamu?Kama wewe unavyohenyeshwa na shemeji yako
Ajiandae kushitakiwa kwa kuruhusu matumizi mabay a ya fedha za watanzaniaMaza kawakumbatia haswa, rufaa ni 2025
[emoji817]Wamekata rufaa baada ya kuona mahakama imeukubali uamuzi wa Kamati kuu.
Ulikuwa unasikiliza upotoshaji wa wanaccm huku mitandaoni, ndio maana ukafikia kwenye hitimisho hilo.Mbona nilisikia kuwa walishinda kesi?
Ni wizi wa mchana KabisaKwahiyo pesa wanayolipwa kwenye bunge ni sawa na wizi?
Dada chiembe furahi pamoja na wanawake wenzako.Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532