Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Waarabu hawatumii meza Mkuu.Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria.
Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20.
Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza kupindua meza Misri vizuri kabisa.
HAIJAISHA MPAKA IISHE