Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

Waarabu hawatumii meza Mkuu.
 
hizo takwimu hazita kusaidia lolote mwisho wa siku utatoka kwenye hayo mashindano maana anatakiwa mwenye magoli mengi sio shot on target wala kumiliki mpira.
 
Hizi nguvu unazotumia hapa kueleza huu uharo ni vizuri ungezipeleka shambani pengine ungevuna hata magimbi.
 
Vibonde wa round ya kwanza ya robo fainali 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C5KALIPs3RQ/?igsh=MWl1dGVuMm91ZDlo
 
Mchezaji ana miaka 38 ,Saidoo unamrekebisha kitu gani aisee..


Simba tuna magarasa mengi...na viongozi wanaohusika na usajili waache janjajanja
You can't teach an old dog new tricks. Al Ahly waliwaavhia mcheze wenyewe lakini mkashindwa kutumua nafasi zenu. Ball possession is a stupid metric. Una 70% ball possession kwenye half yako haina maana yoyote.

Niliandika kwenye forum hii baada ya quarter final kupangwa kwamba bingwa atatoka group D na ndivyo itakavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…