AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Wewe sio wakwanza wala wa mwisho kukupenda au wapekee kwake. Alishawai kupenda kabla pia anaweza kupenda tena. Lakini kama sasa hivi anakupenda wewe nini kingine unachotaka?
Yeye sio mkamilifu wewe pia. Nyie wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu.
Alikuwa na nani hapo zamani au atakuwa na nani baadae sio muhimu, upendo wa sasa ndio muhimu ni muhimu kuuthamini.
Credit to Robert Nesta Marley.