Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote

Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote

Bora ngoma kuliko Sukari , Presha na Kansa jamani. Nyie hamuogopi?
Ngoma hutebgeneza njia mwororo kwa hao washkaji zake.
Ukiwaona wanaohufhuria CTC sasa, na sasa nasikia fingerprint ndio hutoa mashudu
 
Achana na hayo maswali ndugu waoaji tu ndio wanapaswa kuuliza hivi
Muoaji mwenyewe huwezi mwambia kuwa umeshabamizwa na ma semitrela ya kisukuma na kimaasai

Sembuse mimi stranger embu Funguka binti
 
Mimi Kuna li mkaka la Kihaya nilikuwa nalo kwenye husiano nikasex nalo kusema ukweli tangu siku hiyo sina amani maana niliumwa Fungus baada tu ya kusex nae… tangu mwezi wa 11 mpk Leo sitaki hata kuliona,, halafu nilimwambia twende zahanati tukapime akagoma akasema tununue vipimo tupimie home… wakuu yaani naogopaa kupima kabisaa na wakati mimi huwa sio muoga kwenye suala la kupima ila niliteleza kwa huyu jamaa wa Ntukula navurugwaa šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸ»
Fungus ni dalili za awali sana
 
Back
Top Bottom