Fungus sehemu za siri ila nilitumia dawa Fuconozale 200gm nikapona… kapumbavu sana kale kajamaaZilikutokea kwenye papuchi au sehemu gani ya mwili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungus sehemu za siri ila nilitumia dawa Fuconozale 200gm nikapona… kapumbavu sana kale kajamaaZilikutokea kwenye papuchi au sehemu gani ya mwili?
Saivi umepona?Fungus sehemu za siri ila nilitumia dawa Fuconozale 200gm nikapona… kapumbavu sana kale kajamaa
Yaani nimejifunza kabisa kwakwelii ìlikuwa emergence tu yaani sitaki hata kumuonaa.. ukiachana na Ukimwi nimeogopa tu nilivyopata Fungus sijawahi kuumwa hata U.T.I mwaka wa 7 huu ila kukutana nae tu nikapata fungus… nahisi hakajatuliaa maybe kana makandokandoUtakuwa umejifunza kitu
Saivi umepona?
Hakika… we should think twice and twice….!Hii kitu ni noma.
Ukinywa maji Nyumbani glass yako watu wanaikwepa kwepa.
Mtu akitaka kuiosha anavaa Gloves.
We hii hali isikie kwa jirani tu
Ngoma umepima uko fresh?Ndio nilishapona ni muda mrefu tangu mwezi wa 11
Just eat som more.,,,, forget about these words..,, your relative will regret on your behalf…..eti ntakufa, kwani we utaishi milele
Kula mbususu bana 😄
Concur with you…this word are very sweetie if you are safe…..Ukishakojoa tu pale akili itakukaa sawa.
Vijana wanasema siku hizi ukimwi hautishi ila hautishi usipokua nao, ukiukwaa dadeki utasanda.
Hatari sana…Unakuta mdau upo pale Hale unajipigia zako kavukavu tuu😥
Kupima ni baada ya miezi 3 na hata ikifika siendii kupima ng’o … sema kale kajamaa kaniambia tuonane tukapime nimemwambia simtaki tena,,, hivyo ndugu mwandishi siendii kupima ng’ooooNgoma umepima uko fresh?
Dada zetu wanaogopa mimba kuliko ukimwi.Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
UMEME UPO! Msijisahaulishe
Umepima HIV ??Ndio nilishapona ni muda mrefu tangu mwezi wa 11
Kupima ni baada ya miezi 3 na hata ikifika siendii kupima ng’o … sema kale kajamaa kaniambia tuonane tukapime nimemwambia simtaki tena,,, hivyo ndugu mwandishi siendii kupima ng’ooooUmepima HIV ??
Ila wewe jamani 🤣 unaishi kwenye dunia yako mwenywe hahaha sio shida zako ehCtc ndio wapi huko mie nataka hizo pisi kali
Maisha ni very simple....mie ni mbususu mpira basiIla wewe jamani 🤣 unaishi kwenye dunia yako mwenywe hahaha sio shida zako eh
Aisee,pole sana afsaKupima ni baada ya miezi 3 na hata ikifika siendii kupima ng’o … sema kale kajamaa kaniambia tuonane tukapime nimemwambia simtaki tena,,, hivyo ndugu mwandishi siendii kupima ng’oooo