Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote

Utakuwa umejifunza kitu
Yaani nimejifunza kabisa kwakwelii ìlikuwa emergence tu yaani sitaki hata kumuonaa.. ukiachana na Ukimwi nimeogopa tu nilivyopata Fungus sijawahi kuumwa hata U.T.I mwaka wa 7 huu ila kukutana nae tu nikapata fungus… nahisi hakajatuliaa maybe kana makandokando
 
Hii kitu ni noma.

Ukinywa maji Nyumbani glass yako watu wanaikwepa kwepa.

Mtu akitaka kuiosha anavaa Gloves.


We hii hali isikie kwa jirani tu
Hakika… we should think twice and twice….!
 
Hakuna mtu ameshuhudia mtu/watu wana HIV na ARV hawanywi?
 
Ukishakojoa tu pale akili itakukaa sawa.

Vijana wanasema siku hizi ukimwi hautishi ila hautishi usipokua nao, ukiukwaa dadeki utasanda.
Concur with you…this word are very sweetie if you are safe…..
 
Ngoma umepima uko fresh?
Kupima ni baada ya miezi 3 na hata ikifika siendii kupima ng’o … sema kale kajamaa kaniambia tuonane tukapime nimemwambia simtaki tena,,, hivyo ndugu mwandishi siendii kupima ng’oooo
 
Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.

Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,

UMEME UPO! Msijisahaulishe
Dada zetu wanaogopa mimba kuliko ukimwi.

Mishangazi, taco kubwa guu bia , pisi kali sana zinatembea huku zina short ya umeme vijana wamepigwa short na hawa mashangazi na pisi kali haswa wanatafuta wa kufa nao kwa kusingizia kifo kinasababu maisha mafupi, jichanganye uwakewake kama taaza krismass

Ngoma ipo kama haipo wazee tuendelee kukumbushana mabaharia
 
Hapa huwaelezi wakakuelewa, ila Ushauri mzuri huu Mkuu, mwenye sikio na asikie kuna maradhi mengine magumu kuliko UKIMWI ila bado ukitajwa UKIMWI mtu unapata ukakasi.
 
Kupima ni baada ya miezi 3 na hata ikifika siendii kupima ng’o … sema kale kajamaa kaniambia tuonane tukapime nimemwambia simtaki tena,,, hivyo ndugu mwandishi siendii kupima ng’oooo
Aisee,pole sana afsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…