Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Nimekuelewa lakin hivyo vitu vyote hamna ndugu yangu, sijui kwanin mods hawanijali jaman, nimewafanyeje? Sasa Kama hivo vitu unavyosema sivioni ni Kosa lako, langu au la mods? Nieleweshe zaidikiongozi wangu
Inaonekana tatizo lipo kwenye chombo unachotumia
 
Sasa nifanyeje kiongozi, maana kabla hawajabadilisha Huu mfumo Wa Sasa hivi nilikua naona kila kitu, nishauri
Ninaposema chombo nina maana ya simu au laptop unayotumia haina baadhi ya function ambazo zingekuwezesha kupata hayo unayoyataka. Lakini kabla ya kuchukua hatua yeyote jaribu kubadilisha chombo unachotumia kuwasiliana.
Kwa maana ya kwenda cafe na kutumia computer za hapo cafe, kama ukiona chombo hakikuonesha mabadiliko fungua sehemu iliyoandikwa Forums na tafuta Members Only, hii ipo chini kabisa unapo scroll ukurasa wa Forums na pale ipo sehemu ya Complaints. Utafungua na kuwasiliana na wahusika!
 
Kwa hizo hela wanajenga ukumbi wa starehe wa maana haswa kwa retirement yao [emoji383]
 
Hongera kwao watu waache kuchukulia wenzao for granted,
Shose sinarena kesi yake ya 30mil$ basi ana matumaini mazuri pia naona
 
Hizi hela angezipata Ali Kiba du! angeenda kuzila na Wema Sepenga zote
 
Ninaposema chombo nina maana ya simu au laptop unayotumia haina baadhi ya function ambazo zingekuwezesha kupata hayo unayoyataka. Lakini kabla ya kuchukua hatua yeyote jaribu kubadilisha chombo unachotumia kuwasiliana.
Kwa maana ya kwenda cafe na kutumia computer za hapo cafe, kama ukiona chombo hakikuonesha mabadiliko fungua sehemu iliyoandikwa Forums na tafuta Members Only, hii ipo chini kabisa unapo scroll ukurasa wa Forums na pale ipo sehemu ya Complaints. Utafungua na kuwasiliana na wahusika!
Sawa subir niwatokee mkuu, Yan nimechoka kweli kweli, wamenikondesha sana
 
Great move! It's about time wasanii waanze kufaidika na jasho lao. Makampuni ya simu yanawanyonya sana mapato yao. Sasa wengine wataamka naona.
 
SORRY NILIMAANISHA FA NA KWANINI......... USEME AY HANA SHULE UNAMFAHAMU AU ?
Namfahamu Sana, kasoma Mbeya O level hela yenyewe ya Ada mwaka wa mwisho badala ya kulipa Ada akaamua kuja Dar kurecord ngoma yake ya kwanza, bahati nzuri ikamtoa...!
 
Kwahyo watu wa form four automatically hawajasoma??wewe utakua ndo wale wanaoamini katika degree ya mlimani tu.
Ukiambiwa ulete watu waloenda shule utaenda kuleta form four!? Miaka ya Leo!! Ilikua zamani...
 
Namfahamu Sana, kasoma Mbeya O level hela yenyewe ya Ada mwaka wa mwisho badala ya kulipa Ada akaamua kuja Dar kurecord ngoma yake ya kwanza, bahati nzuri ikamtoa...!
Je kati ya huyo Fa mwenye elimu na Ay ni nani mwenye mkwanja zaidi?

Nauliza tuu[emoji85] [emoji85]
 
Watakuwa ndio wasanii matajiri zaidi East Africa.
Ni kama wakilipwa zote na itakuwa kwa hapa Bongo japo pia sina uhakika sana kama watakuwa juu ya baba flani, ila kwa East Africa wapo wenye nazo na zaidi hasa hapo Uganda ni balaa.
 
Back
Top Bottom