Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Huo wimbo hata miaka 20 usingweza kuwakeletea hiyo pesa hapo wakili anakula 0.18 wao wanabaki na billion 2 hizo kwa vile hao ni wasanii wanao jielewa hope tutaona Maendeleo Makubwa zaidi ya IDRISSA kama kampuni na mambo mengine hela za tigo hawana Njaa watatuka hela zetu siku 2 washapata Billion 2 tuuu ngoja watangaze offer leo au kesho
 
ay uzur wake hajisimfii ila anahela sana
nakubaliana na wewe kabisa....
kimsingi AY amezaliwa kwenye hela so hazimtii wazimu(mtoto wa upanga yule).... shida ni wale wa tandale wakizipata afu ukizingatia shule kichwani ni ndogo.. huwa wanapenda kila mtu ajue wamezipata.
 
nakubaliana na wewe kabisa....
kimsingi AY amezaliwa kwenye hela so hazimtii wazimu(mtoto wa upanga yule).... shida ni wale wa tandale wakizipata afu ukizingatia shule kichwani ni ndogo.. huwa wanapenda kila mtu ajue wamezipata.
AY si mtoto wa upanga, rudi kafanye research vizuri.
 
Sio kila aliyekuwa east coast team origin yake ilikuwa upanga.......kulikuwa na watoto wa morogoro, dodoma kiwalani etc....!!
 
AY si mtoto wa upanga, rudi kafanye research vizuri.
AY ambaye anafahamika sana
nchini Tanzania , Kenya , Uganda , Rwanda,
Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa
mwanakikundi wa East Coast
Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye
maarufu kama King Crazy GK, na
mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu
kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo
la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es
salaam .

source: watu smart entertainment.
 
ay sio mtoto wa upanga na hata mwana fa.. sema ni marafiki wa crazy gk mtoto wa upanga.

tuambie ay kwao wapi upanga.. au amekulia nyumba gani?

fanya research.



AY ambaye anafahamika sana
nchini Tanzania , Kenya , Uganda , Rwanda,
Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa
mwanakikundi wa East Coast
Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye
maarufu kama King Crazy GK, na
mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu
kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo
la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es
salaam .

source: watu smart entertainment.
 
Kitu kitapigwa pinguzo hadi kwenye 400 hivi kama siyo 200. Sidhani kama kuna justification ya hizo bili, maana hata mauzo yao binafsi kwa ujumla hayawahi kufika huko.

"Hata mauzo yao binafsi kwa ujumla yasingeweza kufika huko" ... Hii inatoa fursa kwa mtu mwingine (third party) kutumia kazi yao (AY & FA) kibiashara?
 
Kwa hiyo unamaanisha hiyo ndio Pesa yao ya kwanza wamepata tangu kuanza muziki!? KKabla Diamond hajaanza muziki hao akin a AY na Fa walikuwa hawaingizi pesa!? Unadhani tangu Fa na AY waanze muziki wmeingiza fedha kiasi gani na huyo Diamond ameingiza kiasi gani!?
Kwahiyo ndiyo wanakuwa wasanii matajiri kwa E.A ????? ( niliyemjibu ndicho nilichomueleza kuwa hawawezi kuwa matajiri wa muziki kwa E.A LABDA KAMA WEWE UNA MAANISHA KUWA UTALETA HUO NILIOULIZA PALE NA NIKAKOSA JIBU )
 
We utakuwa mfua nepi za tiffer ww sio bure
Sio za tiffah tu zao wote mimi ndio mfuaji, vp wewe unaendelea kufua chupi za Sepetu au umeacha ndio mana unanicheka mimi ???
 
team diamond sound mnapenda kulazimisha mambo sana nyie utafikiri anapoenda kusign hiyo mikataba anawaletea nakala,marangapi anapiga show za bure huko kiwanja anakoenda zaidi anaambulia kufanya shopping..!!jinsi AY alivyo wafungua na kuwatoa tongotongo wasanii wenu wakibongo wanao penda umaarufu wakati wananuka njaa utasikia kesho kesizitavyo rindima huko akiwemo na huyo mond
Haya wewe mwenye NAKALA za hiyo MIKATABA weka hapa ili tuone unachomaanisha ni sahihi ???
 
Back
Top Bottom