Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Watu wengi naona hawajaelewa hii habari ama ni hawajasoma vizuri hiyo habari...akina AY walifile suit mahakamani wakiidai tigo 4.3 b kama damages plus 25 millions kama general damages nadhani walishindwa kuiprove hyo 4.3 hivo mahakama ikawa award hyo 2.18b ilioona inafaa kuwa awarded..ikumbukwe hapa pande zote mbili zinayo haki ya kukata rufaa kama zitakua hazijaridhika na maamuzi ya mahakama.