Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Hongera sana .
Hongera kwa Advocate Msando,finally haki imetendeka.
 
Wakati wengine wakisikia nyimbo zao kwenye miito ya simu wanafurahi wamekuwa maarufu awa kusikia nyimbo zao zinatumika na tigo wakaenda mahakamani kudai malipo kwani tigo wamefanya biashara kutumia bidhaa yao.

Ooh okay, ni nyimbo gani mkuu na tangazo gani la tigo limetumia hizo nyimbo kiongozi...?.

Baada ya hapa turudi kwenye audio production sio.

Thanks buddy.
 

Kwani AY yeye hafanyi show na kuuza nyimbo??
 
We subiria utaona mahakama ya rufaa yaweza kuwapa ushindi tigo au kuwaambia wakasuruhishe nje ya mahakama

Najaribu kufikiria ni calculation za hiyo loss zimeendaje, kwa sababu sidhani kama hata actual inaweza kufika Mil 200.
 
mtu akimiliki bilioni ndo anaitwa bilionaire? hao ndo wanamuziki tajiri kwa ss.
 
Very good walikuwa wanawanyonya sana wasanii ,TIGO wazilipe tuu
 
Dah wewe jamaa unampenda sana Diamond.. Huu sio ushabiki haya ni mahaba.

Kwani unaujua utajiri wa AY wewe? Akiongeza hiyo B? Punguza mahaba mkuu wewe mtoto wa kiume, watu tunamkubali Chibu ila sio kiivyo.

Huyo dogo Diamond sijui kamfanya nini.. Au sijui ndio watu wa diamond wa mitandao
 
Iwe fundisho kwa wengine, Hongera wakili hongera sana.
 
Ooh okay, ni nyimbo gani mkuu na tangazo gani la tigo limetumia hizo nyimbo kiongozi...?.

Baada ya hapa turudi kwenye audio production sio.

Thanks buddy.

Miaka minne iliyopita sikumbuki ni nyimbo zipi... Ila I guess ni habari ndio hiyo.
 
msaada wana JF: mwenye namba ya simu ya rafiki yangu kipenzi AY naomba tafadhali nimepoteza simu sina mawasiliano naye, kuna kitu nataka niongee naye cha muhimu sana, yule urafiki wetu mimi na yeye umevuka urafiki sasa ni NDUGU kabisa, shida zake ndio shida zangu mie na furaha yake ndio furaha yangu, nikiwa na kitu siwezi kumnyima hata kama ni kidogo na yeye hivyo hivyo akiwa na chochote huwa hatunyimani😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…