Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Watapewa milioni mia hiwezi kuzidi watagawana 50 lakini stori za bilioni mbili ndoto za mchana
 
Watanzania wengi hawasomi magazeti hadi mwisho wake
Wengi wanasima kichwa cha habari pekee
 
You are not seriuos.
Nani anatermine damage? Mlalamikaji au mlalamikiwa? Aliyekula hasara ndiye hudai, that's why hao jamaa waliona thamani ya hasara hio ni. 2.18b inatosha.
 
Nani anatermine damage? Mlalamikaji au mlalamikiwa? Aliyekula hasara ndiye hudai, that's why hao jamaa waliona thamani ya hasara hio ni. 2.18b inatosha.

Umeuona mchanganuo wa hiyo hasara yao?

In short hakuna mchanganuo wa kueleweka, eti kuna figure inaitwa special charge ndo hiyo inaenda mpaka 2b.
 
Imbombo ngafu [emoji15]
 
Umeuona mchanganuo wa hiyo hasara yao?

In short hakuna mchanganuo wa kueleweka, eti kuna figure inaitwa special charge ndo hiyo inaenda mpaka 2b.
Mchanganuo sijauona, even if hatuufahamu ila tuamini kuwa upo, na ndio maana facts/hesabu zake zimesababisha jamaa washinde shauri lao katika ngazi ya hio mahakama.
 
Hio billion 2 kwa tigo ndogo sana,,, tigo wana Wateja kama milioni 5 nchi nzima ...kila mtu akiingiza jero ndo hela itayotumika kuwalipa kina ay then siku ya pili mambo yanaendelea
Mkuu! Kwani nia yao ni kuifilisi Tigo? La msingi AY na Mwana walipwe haki yao na iwe fundisho kwa makampuni yanayolalia wasanii.
 
INABIDI KUWA MACHO NA MAKINI NA HAWA TIGO HAWACHELEWI KUHAMISHA HASARA HII WALIYOPATA KWA WATEJA WA KAWAIDA.
 
Dah wewe jamaa unampenda sana Diamond.. Huu sio ushabiki haya ni mahaba.

Kwani unaujua utajiri wa AY wewe? Akiongeza hiyo B? Punguza mahaba mkuu wewe mtoto wa kiume, watu tunamkubali Chibu ila sio kiivyo.

Tatizo nn kwan mbona jamaa kasema.ukweli..
 
Nadhani wangeweka amount ambayo Tigo watalipa kwa haraka, kwa mfano Mil 200 hivi, coz naona hiyo Bil 2 watazungushana mpaka basi.
Mkuu jifunze kuwa mvumilivu upambane na upate haki yako....hawa jamaa wamevumilia for four complete years sioni ni kwanin wapunguze amount..kumbuka hapa kuna interest pia zinajumlishwa kimahakama za bongo nadhan interest inakuaga 9-12% so kama wanahela ya kujikimu mi sioni haraka ya kuwafanye wapunguze kiwango.
itasaidia pia kuwa kama reference( precedence) case Kwa wasanii wengine wenye kesi kama hizo na wanafunzi wa intellectual property...kibongobongo itasaidia sio tu Kwa kina AY tu ila wasanii wote wa bongo.
 
Ha ha ha. Chezeiya Mapene. Yaani boora wewe aisee; Mie nahofia tu yasije kuwa yale ya baada ya muda wanaibuka wadogo zangu na kudai wana mimba na wahusika ni kati ya Mwana au AY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…