Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Io hela wakigawana approximately kila mtu anachukua 1B......sasa 1B kuwafikia kina jaguar,diamond na mzee wa valuvalu bado sana kaka.

Kwani Diamond ana net worth ya kiasi gani?
 
AY ambaye anafahamika sana
nchini Tanzania , Kenya , Uganda , Rwanda,
Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa
mwanakikundi wa East Coast
Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye
maarufu kama King Crazy GK, na
mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu
kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo
la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es
salaam .

source: watu smart entertainment.
Niggah, sio kwa kuwa makao makuu ya east coast team yalikuwa upanga ndo kila member anatoka upanga...Ambwene nafikiri alikuwa anatokea Dodoma na secondary alisoma ifunda tech, O-ten ni mtoto wa moro but alikuwa member wa east coast team na watoto wengine wengi...sema GK alikuwa ndo mtoto wa upanga so ikawa kama amewakusanya, binafsi nilikuwa nashinda sana mitaa hyo kipindi nasoma TAMBAZA HIGH SCHOOL, na mama yake GK (mama Naomi Kaihula) ndio alikuwa mwalimu wa nidhamu na somo la general studies kama sikosei kipindi hicho (ameshanivua sana culture zangupale school).
 
Sorry wanasheria mtanisaidia hivi district court can award hukumu ya Tsh 2.4 Billion........? Au huwa ni high court...???

Maana hapo wametaja district court
Mkuu mahakama ya kisutu ina both district court na resident magistrate court, na hyo hukumu imetolewa na resident magistrate court (mahakama ya hakimu mkazi) na taratibu zilivyo ni kuwa kuna baadhi ya mahakimu wa RM courts huwa wanapewa ile wanaita extended jurisdiction which means anakuwa na uwezo wa ku-entertain cases ambazo high court ina power nazo na kati ya maeneo ambayo hyo power imekuwa imposed ni hapa kwenye hyo wanaita pecuinary jurisdiction, so hyo hukumu ni imetolewa na mahakama sahihi kabisa.
 
Kitu kitapigwa pinguzo hadi kwenye 400 hivi kama siyo 200. Sidhani kama kuna justification ya hizo bili, maana hata mauzo yao binafsi kwa ujumla hayawahi kufika huko.

Nadhani ndiyo lengo la Rufaa ya Tigo.
 
Niggah, sio kwa kuwa makao makuu ya east coast team yalikuwa upanga ndo kila member anatoka upanga...Ambwene nafikiri alikuwa anatokea Dodoma na secondary alisoma ifunda tech, O-ten ni mtoto wa moro but alikuwa member wa east coast team na watoto wengine wengi...sema GK alikuwa ndo mtoto wa upanga so ikawa kama amewakusanya, binafsi nilikuwa nashinda sana mitaa hyo kipindi nasoma TAMBAZA HIGH SCHOOL, na mama yake GK (mama Naomi Kaihula) ndio alikuwa mwalimu wa nidhamu na somo la general studies kama sikosei kipindi hicho (ameshanivua sana culture zangupale school).
nimekupata ndg... asante kwa masahihisho... hata hiyo news niliyoleta mwanzoni inatamka wazi kua AY alizaliwa mtwara so nilichukua kipande ambacho kingefavor argument yangu.
 
Kitu kitapigwa pinguzo hadi kwenye 400 hivi kama siyo 200. Sidhani kama kuna justification ya hizo bili, maana hata mauzo yao binafsi kwa ujumla hayawahi kufika huko.
Atakayesema 400m ana justification gani?
 
Safi sana. Wamezoea kutuibia wananchi. Hakika tgo itawacost hii kesi.
 
Back
Top Bottom