IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Mwaka huo wa 2016 mke wangu wa sasa alijifungua mtoto wa kike ambae kwa sasa ana umri wa miaka 5 yupo chekechea alifanana sana na mim baba yake lakini pia bibi yake ambae mama yangu mimi binafsi ni copy ya mama ila kwa dingi ni utolu ndio nimechukua bro angu yeye ni copy ya baba (R.I.P) ila kafata ufupi wa mama.
Uyu mke wangu mwanzo alikaa na Dada ake mtoto wa mama yake mkubwa mama yake mzazi alifariki lakini bab ake akuwai mjua mpka ivi sasa wapo yeye na ndugu yake
Kutokana na magumashi na dad ake akahama na kuja kwangu mazima sikua na maisha ikabidi nipambane kivyangu na yeye akatafuta vijikaz akapt ya mgahawa tukawa tunaishi uzuri aikua nyumba ya kupanga ilikua nyumba ya mama mkubwa Dada wa mama tuliishi apo akashika ujauzito uku akiendelea kufanya kazi ya mgahawa mzee mzima vibarua vya kujenga n.k kuna siku alirudi job tumbo lina muhuma sana kumbe kuinama na kazi na nini ile mimba ikaharibika siku iyo mfukoni nilikua na buku tu akaenda chohoni anajisikia haja kujisaidia ikatoka kama kinyama ivi na tumbo likakata maumivu sio sana nikamwagia maji kikaenda lakini kwa usalama inabidi niende hospital kucheki ila sasa pesa sina nna buku tu nikanunua vocha kumipigia mother mtoto kwa mama akui ambae nae kimaisha yupo kawaida tu sio mtumishi wa serikali akaniambia twende hospital ye anakuja alikuja hospital na hakiba yake ndogo tu.
Dokta akasema hana uchafu achukue dawa kazaa atumie zile za kuondoa maumivu kwa aliearibikiwa mimba mama ndio akatoa pesa kama elf 7 au 8 ivi ya dawa na ndio alikua mwokozi siku iyo kwangu I love you mom forever pesa ya boda kurudi akatoa yeye.
Miezi kazaa akashika ujauzito tena na alikua ana ng'aninia yeye binafs niliogopa maisha bila kazi utaleaje mtoto sema yeye akua akijiamini aliona kushika ujauzito ni kujihakikishia kuwepo kwangu na ndio mtego wa kushikiwa vijana wa sasa mimba inakua tiketi ya kuhamia kwako.
Uyu mke wangu tulikuja tengana 2018 mwanetu akiwa na miaka 2 paliingia ka shetani flani japo kwa sasa tupo wote
iyo siku ilikua final ya world cup France vs Croatia kutokana na migogoro tulionayo siku iyo asubuhi tukazinguana kama kawaida ile nimeenda job narudi usiku nakuta home giza tu kipindi icho kidogo maisha yali tuhurumia yalikua na angalau nilinunua sola na betri na ka dvd player vile vya kutumia king'amuzi, flash na cd na kalikua kana tumia umeme wa sola na wa kawaida basi kasepa kaniachia
kitanda bila godoro naisi kitanda alishindwa kufungua.
Nguo zangu sabufa ndoo la chooni na la maji ya kunywa na kikombe tu cha kunywea maji palikua na kagodoro ka fut 3 chapat kinoma nika katandika pale kitandani nikalala asubhi naamka mbavu ziliniuma kinoma mhm nikapiga simu bana rudi akasema arudi nikamwambia sawa ivo vitu umechukua vyote ulinunua peke ako akasema nipo na mtoto nikaona poa sikwenda kufata vile vitu zaidi nilimwambia umechukua kalai kaangio la maandazi ilo la mama naomba liludishe vingne vyote baki navyo kweli alirudisha.
Nyumbani kuumia mbavu kulinishinda nikawa nalala jobu tu mwezi mzima, nikacheza upatu na hatimae kufanikiwa kununua godoro mpya kabisa na vitu vingne vya ndani na kuanza maisha ya ubachela rasmi Aliondoka na mtoto akiwa na miaka 2 na dogo baba ake alikua ananijua vizur tu.
Kabla ya kununua vitu na kuanza kulala home nilianza mipango ya kuhakikisha na muhudumia mwanangu ili niwe huru kupeleka huduma kwa mwanangu isiwe shida nikaona niende dawati la jinsia tuitwe kule isje siku nahitaji kupelaka huduma kwa mwanangu ikawa shida baba mwingne anazingua sikua tayari atokee baba mwingne amlee mwanangu ionekene nimeshindwa huduma ili nilipinga kama atapata bwana basi sawa ila mtoto wangu nta mpambania mpaka umri wa kumchukua tuliitwa dawati la jinsia kwanza muhudumu akatuuliza shida ya kuachana ni nini.
Mi nikaeleza mkasa mzima nae akaeleza japo sito andika yule Dada muhudumu mwisho akasema binti ndio una tatizo kwa maelezo mliojieleza akamsema sana na kumwambia bado u bint mdogo hao wa nje wasikuchanganye saiz umetoka kwa bwana ako watakukimbia yeye akasema hana tatizo na nakumbuka alinipa maneno babu e nishatoka kwako achana na Mimi saiz nina maisha yangu alafu hapo pesa yake ya biashara alikua atumii naona nayo ilimpa kiburi mi ndio nilitoa matumizi ya home karibu kila kitu nilijaribu kumbembeleza aludi mzee mzima nilikubali tu aligoma basi.
Mwisho nikapewa mfumo wa kumuhudumia mwanangu na kila mtu akenda kwake rasmi yeye alivyobeba vitu alirudi kwao kule kwa Dada ake mwingne akua yule waliokua wanazinguana yule Alisha ondoka uyu mpaka vitu alikuja msaidia kubeba neno langu la mwisho kwake lilikua siku moja mama x utanikumbuka like mendazake kifupi ilikua ivyo na mke wangu uyo wadau uko mbele mtaonganisha doti na kuelewa kwann nilimuanza uyu kumuelezea na tulivyo achana kabla ya kuja kurudiana uko mbele na ndio hapa katikati nika ingia jehanamu shimo la nyoka huu ndio mkasa wenyewe.
Nitarudi