Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Huyo dogo wa form four ndo alikuletea maumivu makubwa au?Ki fupi au niguse point muhimu ili nieleweke kabla sija endelea
Ni ivi nilikua kwenye mahusiano na bint mmoja mwaka 2015 ambae baadae alihamia kwangu nikaishi nae iyo 2015 a akashika ujauzito mwaka 2016 alijifungua mtoto wa kike hospital ya mkoa Ruvuma
Baadae mwaka 2018 tukaja tengana baada ya migogoro baina yetu wakati huo mtoto wetu ana miaka 2 ye akaenda kwake na maisha yake na Mimi nikabaki na maisha yangu.
Baada ya kutengana na uyo niliezaa nae ndio nikaja kuanza mahusiano na msichana mwingine ikapelekea mimi kupitia changamoto nyingi na baadae nikajivua kwa maumivu na mwisho nikarudiana na yule wa kwanza nilie zaa nae ambae mpaka sasa ivi naishi nae tena na tuna mtoto mwingine ina maana sasa tunao wawili.
Labda hapa ntakua nimeeleweka
wadau msome hii sumary na muielewe kabla sija endelea
Halafu we ungetiririka tu bila kutupa mwisho wake kwanza,unaondoa msisimko wa story