miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke uliishi nae songea sehemu gan,Sasa shuka nayo vizuri alafu usinicheke tu imeshapita
AhaaaaWe nae zoba tu songea unateseka vip na videmu wakati cost ya dem wa songea ni kumlipia bodaboda(YEBO) tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuona sehem madem ni warahisi kama songea
Vumilia mzee wa kimasihara tujue kisa choteUkirudi summarize story hatuna muda wa kupoteza..
Mhm bi Dada sijui kama nipo sahihi kukuita ivo naona unataka kuunga doti unjiue unicheke jua ni songea ila nimechanganya maeneo isije watu wakanijua humu naona we ni wa kunyumba kabisaHuyo mwanamke uliishi nae songea sehemu gan,
Msamala, bombambili, matogoro, lihwena, mletele, mshangano, shule ya tanga, matalawe, ruhuwiko, mfaranyaki, au songea vijijini huko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao walikua wanalala mbele kwenye majukumu nikajifanya mbishiKwa hiyo ulikuwa sponsor?na masponsor wenzio wanasemaje
Naona mzee umechanganaya kuna wale malaya wa fasta sasa sio wote tulikua ivyoWe nae zoba tu songea unateseka vip na videmu wakati cost ya dem wa songea ni kumlipia bodaboda(YEBO) tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuona sehem madem ni warahisi kama songea
Aliyeelewa anieleweshe tafadhali
Wewe ndie kide?Wewe si ndio mzee wa LATINO?
[emoji23]
Ki fupi au niguse point muhimu ili nieleweke kabla sija endeleaNgum sana kuielewa hii!
Ki fupi au niguse point muhimu ili nieleweke kabla sija endelea😂 😂 😂 Kama mimi tu
Ukuiileta nitagKi fupi au niguse point muhimu ili nieleweke kabla sija endelea
Ni ivi nilikua kwenye mahusiano na bint mmoja mwaka 2015 ambae baadae alihamia kwangu nikaishi nae iyo 2015 a akashika ujauzito mwaka 2016 alijifungua mtoto wa kike hospital ya mkoa Ruvuma
Baadae mwaka 2018 tukaja tengana baada ya migogoro baina yetu wakati huo mtoto wetu ana miaka 2 ye akaenda kwake na maisha yake na Mimi nikabaki na maisha yangu.
Baada ya kutengana na uyo niliezaa nae ndio nikaja kuanza mahusiano na msichana mwingine ikapelekea mimi kupitia changamoto nyingi na baadae nikajivua kwa maumivu na mwisho nikarudiana na yule wa kwanza nilie zaa nae ambae mpaka sasa ivi naishi nae tena na tuna mtoto mwingine ina maana sasa tunao wawili.
Labda hapa ntakua nimeeleweka
Huu ni upuuz sanaaa tujifunze kuelewa na kukubali differences/tofaut baina yetu na hiyo ndo maturity. sote hatuko sawa iwe kiakili kiuchumi kielimu kiuelewa n.k sasa mtu kaandika uzi wake anatokea mtu huko anaanza kubeza ooooohh huu mwandiko wenyewe kama wa darasa la saba ooohh hivi ww kwa uandishi huu shule ulimaliza kweli???!! Ni upuuzi kama ww ulibahatika kupata elimu then fine lkn kuna wengine hawakuipata kwa kiwango kama chako kwa sababu mbalimbali ikiwemo uwezo wa kugaramia n.k sasa unakuta mtu anabeza tu kiukweli kuna watu wanakera kwa akili za kitotoHalafu kuna ushamba fulani unashika kasi humu Wa Ku "dis" uandishi Wa MTU badala ya kutazama content
Kila MTU ana level yake ya Elimu,focus kwenye ujumbe wake na sio uandishi, mnakatisha watu tamaa