Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

Huu ni upuuz sanaaa tujifunze kuelewa na kukubali differences/tofaut baina yetu na hiyo ndo maturity. sote hatuko sawa iwe kiakili kiuchumi kielimu kiuelewa n.k sasa mtu kaandika uzi wake anatokea mtu huko anaanza kubeza ooooohh huu mwandiko wenyewe kama wa darasa la saba ooohh hivi ww kwa uandishi huu shule ulimaliza kweli???!! Ni upuuzi kama ww ulibahatika kupata elimu then fine lkn kuna wengine hawakuipata kwa kiwango kama chako kwa sababu mbalimbali ikiwemo uwezo wa kugaramia n.k sasa unakuta mtu anabeza tu kiukweli kuna watu wanakera kwa akili za kitoto
Kuna watu wako hivo maisha yao wao wanawaza kucriticize ko siwashangai,alafu mbona story inaeleweka kwanza kajitahd maana ni ndefu kidogo hapa anaandika ili atoe machungu
 
We nae zoba tu songea unateseka vip na videmu wakati cost ya dem wa songea ni kumlipia bodaboda(YEBO) tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijawahi kuona sehem madem ni warahisi kama songea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heshimu watu wa songea plz, hawapo hivyo hata.
 
Mhm bi Dada sijui kama nipo sahihi kukuita ivo naona unataka kuunga doti unjiue unicheke jua ni songea ila nimechanganya maeneo isije watu wakanijua humu naona we ni wa kunyumba kabisa
Yes mie ni wa kunyumba kabisaah, ila siwezi kukucheka, na hata kukutambua ni vigumu San, kuwa na amani.
 
Huu ni upuuz sanaaa tujifunze kuelewa na kukubali differences/tofaut baina yetu na hiyo ndo maturity. sote hatuko sawa iwe kiakili kiuchumi kielimu kiuelewa n.k sasa mtu kaandika uzi wake anatokea mtu huko anaanza kubeza ooooohh huu mwandiko wenyewe kama wa darasa la saba ooohh hivi ww kwa uandishi huu shule ulimaliza kweli???!! Ni upuuzi kama ww ulibahatika kupata elimu then fine lkn kuna wengine hawakuipata kwa kiwango kama chako kwa sababu mbalimbali ikiwemo uwezo wa kugaramia n.k sasa unakuta mtu anabeza tu kiukweli kuna watu wanakera kwa akili za kitoto
Asante sana
 
Kuna watu wako hivo maisha yao wao wanawaza kucriticize ko siwashangai,alafu mbona story inaeleweka kwanza kajitahd maana ni ndefu kidogo hapa anaandika ili atoe machungu
Sahihi kabisa asante
 
Dah, Mkuu story yako imenirudisha nyuma Miaka 10!! Yaani nimepata maumivu yaleyale niliyopata kipindi kile, kweli wanawake Mwalimu wao Mmoja!
Humu tupo wengi ila wengine wamejificha kwenye kichaka cha wasoma comment
 
Back
Top Bottom