Haileti maana kupunguza bajeti ya barabara kwa kuongeza bajeti ya kujenga SGR na kununua ndege

Haileti maana kupunguza bajeti ya barabara kwa kuongeza bajeti ya kujenga SGR na kununua ndege

SGR haiendi Njombe, hivyo haina msaada kwa Taifa
 
Huelewi nini sasa hapo? Wanataka mahali watapiga 10% yao bila kelele na haraka
 
Mleta mada ni mpumbavu na mtu asiyeelewa chochote na ndani yake akiwa amejawa na kisasi kuona vilivyoanzishwa na asiyempenda havitiliwi maanani!!

Hama nchi bwege wewe
Wewe utakuwa ni mwigulu..ndo umezoea kuwaambia watu wahame nchi waende Burundi
 
Back
Top Bottom