Mapank JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 4,130 Reaction score 6,097 Jun 14, 2022 #21 SGR haiendi Njombe, hivyo haina msaada kwa Taifa
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Jun 14, 2022 #22 Huelewi nini sasa hapo? Wanataka mahali watapiga 10% yao bila kelele na haraka
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Jun 14, 2022 #23 Paulsylvester said: Mleta mada ni mpumbavu na mtu asiyeelewa chochote na ndani yake akiwa amejawa na kisasi kuona vilivyoanzishwa na asiyempenda havitiliwi maanani!! Hama nchi bwege wewe Click to expand... Wewe utakuwa ni mwigulu..ndo umezoea kuwaambia watu wahame nchi waende Burundi
Paulsylvester said: Mleta mada ni mpumbavu na mtu asiyeelewa chochote na ndani yake akiwa amejawa na kisasi kuona vilivyoanzishwa na asiyempenda havitiliwi maanani!! Hama nchi bwege wewe Click to expand... Wewe utakuwa ni mwigulu..ndo umezoea kuwaambia watu wahame nchi waende Burundi