Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

Unatafuta kuolewa na wana cdm wewe siyo bure.
 
Hilo ni SUKUMA GANG nalifahamu kabisa.
 
Mlisema ingekufa before 2015, sasa mambo ya sijui tumbo yanatoka wapi.

Subiri tume huru, subiri maridhiano, subiri katiba mpya itayokutoa kt wizi mloufanya mda mrefu kupitia KAYAFA PIA DIKTETA JPM
Ukiona mtu anachukia maridhiano ya CDM na CCM basi jua kabisa kuwa huyo ni mfuasi wa sukuma gang.
 
Umeshakula?
 
Upinzani utakuwa umeshakufa.
Tungojee labda uzaliwe mwingine.!

Sio huu wa yatokanayo
Kwa kununua wapinzani, kuiba kura, kubambikia kesi, kuzuia mikutano, kutumia polisi kupiga wapinzani ndio mnachoweza, lakini CCM kama chama cha siasa kilishajifia siku nyingi sana
 
Yaani hata hueleweki unataka nini. Umeanza vizuri jnafikia mahali unajilinga mwenyewe.

Sasa kama upinzani si kupinga kila kitu, kama unacholalamikia kimefanyiwa kazi, unataka nini tena na uendelee kupinga nini??
 
Watzapp Musundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…