Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Unatafuta kuolewa na wana cdm wewe siyo bure.
 
Wewe utakuwa SUKUMA GANG mnufaika wa UDIKTETA WA JPM.

Jitahidi usife kihoro kwa mambo ya chedema, wewe kinachokutesa ni kwa kuwa mmoja wa wanufaika wa udhalimu wa dikteta JPM.

Sasa unayahofia maridhiano ya CHADEMA na CCM yatakutupa nje ya fursa za bure alizokupati DIKTETA AJPM LOKUFA.

Pole yako na jipange
Hilo ni SUKUMA GANG nalifahamu kabisa.
 
Mlisema ingekufa before 2015, sasa mambo ya sijui tumbo yanatoka wapi.

Subiri tume huru, subiri maridhiano, subiri katiba mpya itayokutoa kt wizi mloufanya mda mrefu kupitia KAYAFA PIA DIKTETA JPM
Ukiona mtu anachukia maridhiano ya CDM na CCM basi jua kabisa kuwa huyo ni mfuasi wa sukuma gang.
 
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Umeshakula?
 
Upinzani utakuwa umeshakufa.
Tungojee labda uzaliwe mwingine.!

Sio huu wa yatokanayo
Kwa kununua wapinzani, kuiba kura, kubambikia kesi, kuzuia mikutano, kutumia polisi kupiga wapinzani ndio mnachoweza, lakini CCM kama chama cha siasa kilishajifia siku nyingi sana
 
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Yaani hata hueleweki unataka nini. Umeanza vizuri jnafikia mahali unajilinga mwenyewe.

Sasa kama upinzani si kupinga kila kitu, kama unacholalamikia kimefanyiwa kazi, unataka nini tena na uendelee kupinga nini??
 
Watzapp Musundi?
 
Back
Top Bottom