Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unatafuta kuolewa na wana cdm wewe siyo bure.Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.
Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.
Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.
Njaa za kushibisha matumbo njaa!
Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.