Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
568
Kwakweli haipendezi kabisa Mwanaume kukamatia boda boda.

Mwanamke haina tatizo kabisa.

Kwanza vile mnavyokaa tu, inatia mashaka,

Bora bajaji au Tax kabisa.
 
YAANI HUU UTAFITI ukipeleka kwenye magazeti ya kisayansi hukosi dollar laki moja mkuu UNA AKILI SANA KWA KWELI,WEWE NI TUNU YA TAIFA INABIDI UJENGEWE SANAMU
 
Maisha tumetofautiana kama ww umeweza kumiliki Audi,,Benzi,,Ford,, waacha na sisi tuendelee kupanda boda uwezo wetu uko hapa
 
Back
Top Bottom